Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

Hii tabia ya kupeleka wake zenu wakakae kwenu ni hatari sana, kuna Mzee alikuwa anamkaza Mkwe wake pindi mwanae wa kiume na Mke wake wakiwa wametoka.
Kamchezo kalikomaa hadi mzee akawa hataki tena mkwewe aondoke pale nyumbani
 
Pole sana mkuu,ila mi naona wakulaumiwa ni huyo mwanamke wako ambaye hajitambui na haridhiki na unachompatia.kiufupi hakuheshimu.
Mimi nafikiri mwanamke akiwa anajitambua na kuwa na misimamo huyo mzee wa hivyo hawezi kumpata. Lakini kama mwanamke ni maharage ya Mbeya basi ni rahisi sana kukamatika kwa mzee wa hovyo[emoji23].
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jana ulileta Uzi wa kipuuzi wa mwanafunzi wa Mwalimu Nyerere College. Najua wewe humu JF huwa unataka kuwa na kila mwanamke. Achana na huo utoto. Mtu akimpa mzee K ni yake, unasumbuka na nini?
Imebidi nicheke mkuu. Mimi nimeleta habari kama ilivyo watu wakatoa maoni yao kama ilivyo kwa mada nyingine. Kwahiyo hata kama ni uovu tunyamaze kwa sababu unawalenga kundi fulani?

Kuhusu hayo ya kutaka kuwa na kila ke huko sipo na sipo hivyo mi ni mtu wa masikhara sana kwenye keyboard. Mengi humu naandika kuchangamsha jukwaa ila hayana uhalisia.

Kila mtu ashinde mechi zake tatizo umetafsiri habari niliyoileta kama dukuduku langu lakini sio niliileta kama navyoleta habari nyingine.
 
Acha wivu, tafuta K kwa kutotumia mgongo wa wazee. K ni zao wakikupa shukuru, wakikunyima usilaumu wazee. Una matatizo dogo
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒwamekutafunia ,sasa unalaumu wazee wa watu bure wakati demu wako alikua anasifia kitambi kule .Pole
 
😁😁😁😁 Kazi ipo.

Na sisi tunakojoleana na mishangazi πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…