Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hakuna tuhuma zozote ni inferiolity complex tu zinawasumbuwa.Dr Matola PhD
Hebu njoo tuhakiki hizi tuhuma za vijana
D matola nimemshusha vyeo aiseee.Dr Matola PhD
Hebu njoo tuhakiki hizi tuhuma za vijana
Hapa kweli dactar tunae aiseeeConnection za Irene Uwoya.
Yakishakupata utakuja kulia na kusaga meno mkuu
Ahahaha ila dr ngoja niishie hapa.Hakuna tuhuma zozote ni inferiolity complex tu zinawasumbuwa.
Unajuwa humu kwenye mapub wakati yeye kaagiza kisungura unakuta wewe una Grants yako na maAnko unawapa zile six pack zao za Whindhoek na Desperado, sasa hapo kijana anaona hatendewi haki kumbe mfumo ndio uko hivyo kuna umri wa kujitafuta.
Hitimisho ni vijana wapunguze makasirikoHakuna tuhuma zozote ni inferiolity complex tu zinawasumbuwa.
Unajuwa humu kwenye mapub wakati yeye kaagiza kisungura unakuta wewe una Grants yako na maAnko unawapa zile six pack zao za Whindhoek na Desperado, sasa hapo kijana anaona hatendewi haki kumbe mfumo ndio uko hivyo kuna umri wa kujitafuta.
Haha mkuu mimi ni mtu mzima nina binti mwaka wa mwisho chuo ingawa nilimpata nikiwa kijana sana.Kobello wewe ni kijana mwenztu ila nashangaa kwanini upo upande wa hawa wazee wa hovyo...
Una shida gani na wewe mbona una jaribu kutetea mkuu
Muda mwingine vijana mnazingua sana kwa kutuona wazee kama tumelaaniwa hiviAhahaha ila dr ngoja niishie hapa.
Ila dr jaribu kutoa shule kwa hawa wazee wana kera bana.
Competition haipo hivo mkuu nyie mnakomoa
Mkuu tutaacha makasiriko baada ya nyie kutuachia wadada wetu.Hitimisho ni vijana wapunguze makasiriko
Astakafillah.... Sitaki kusikia na wewe ni mzee wako wa hovyo.Haha mkuu mimi ni mtu mzima nina binti mwaka wa mwisho chuo ingawa nilimpata nikiwa kijana sana.
Na pia ni sugar daddy, nahonga mpaka IST.
Kwa hii trend mkuu ni kweli mna laana... Hivi ujana wenu mlikua mnafanyiwa hivi na hao wazee wa enzi hizo mkuuMuda mwingine vijana mnazingua sana kwa kutuona wazee kama tumelaaniwa hivi
Sasa mkitaka vita ya 3 ya DuniaMkuu tutaacha makasiriko baada ya nyie kutuachia wadada wetu.
Mnakera tena mnakera sana hii hoja nahakikisha taofikisha sehmu husika na hatua zitachukuliwa
😯Yamenifika pabaya mkuu nimefanyiwa mapicha picha ya ajabu
Kwa hii trend mkuu ni kweli mna laana... Hivi ujana wenu mlikua mnafanyiwa hivi na hao wazee wa enzi hizo mkuu
Khaaa mkuu sasa tutajua we subiri kuna kikosi kinaandaliwa mtaani huko ku deal na watu kama nyie.Sasa mkitaka vita ya 3 ya Dunia
Endeleeni kutuchokonoa wazee, sisi tunajua ni angle ipi tutawashika
Si wajua wazi macho yaliyoona milima hayatishiki na mabonde
Siyo kosa lao ni nature inayotokana na uumbajiKijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali.
Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu asiyekuwepo machoni na moyoni hayupo na kuona ni kuamini.
Yote haya lawama tunawapa wazee wa hovyo. Wazee hawa tunaishi nao humu humu mtaani. Tunachati nao na tuna kula nao.
Kuna umri ukifika jiheshimu.
View attachment 3009782
Kama ni kijana huna haja ya kutoa pole .😯
Pole sana.
Hewaaaaa! SwadaktaAcha wale vyombo maisha ni mafupi,mzee piga pumbu,vijana hela hawana nguvu za kiume hawana sasa si bora wazee wawasaidie