DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sasa kama ishu ilikuwa kuongezwa mshahara hio nyongeza mlioambiwa ni 23% imewafikisha wapi? Magufuli alipunguza paye tu, huyu amelngeza elfu nane akarudishs elfu 15 kwa tozo kuna lipi la maana? Au ufahari tu kuwa mama aliongeza mshahara
Wote ni walewale tu, huyu kaachiwa zigo la miradi anaogopa kupandisha mshahara amalizie miradi wakati raia tunakufa njaa huku, aachane na hiyo miradi tule asali
 
Daaah inatosha sasa! 😱😥
Ebu tutafute the way forward!
Tuache ukimya tuiokoe Tanzania
 
Hiyo kampuni mmiliki halisi ni Nañi? Na kama ni Mwigulu Nchemba ameikabidhi Kwa board of trustee waiendeshe na yeye kukaa pembeni?

Pili bill of loading ni dollar ngapi na calculation ya ushuru ni shilling ngapi? Lete details.
Mmiliki ni Ester ambaye ni mke wake
 
Sasa uchunguzi si ufanyike, mnataka mleta mada mwili wake uweke kwenye viroba akileta kila kitu hapa. Jungu likiletwa linatakiwa lichakatwe na viombo vya usalama ili kupata mbichi na mbivu nyie mkoje lakini?
 
Sikushangai hata kidogo kwani wewe ni mmoja wa mamilioni ya vijana wasiojitambua na chawa wasiojua kuwa nchi hii ni Yao kwani wao ndio watakaoishi kesho!
Mmebaki kukodoa macho badala ya kuipihania kesho yenu!
Nahisi huelewa wako ni mdogo sana!
Huwezi kuelewa nilichomaanisha kwa kundika vile! Na hutaweza,Ila akisoma Mwigulu atanielewa nini namaanisha,
By the way mimi sio chawa na sijawahi kuwa na sio kijana mpuuzi kama wewe, naweza kuwa Baba yako.
 
Biashara nyingi za watumishi wanapostaafu nazo ustaafu. Si ajabu kukuta magari yapo juu ya mawe uwani
 
Nahisi huelewa wako ni mdogo sana!
Huwezi kuelewa nilichomaanisha kwa kundika vile! Na hutaweza,Ila akisoma Mwigulu atanielewa nini namaanisha,
By the way mimi sio chawa na sijawahi kuwa na sio kijana mpuuzi kama wewe, naweza kuwa Baba yako.
Kwani We ni konda wa mabus yake unahofia ajira
 
Nawasalimu Wakuu,

Nchi inaenda pabaya Wakuu, TISS msaidieni mama..,. Hivi inakuwaje Waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu?

Huyu Waziri Fedha hizi za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata wapi?

Kazi kwenu!.
Huyu waziri ipo siku atajuta ,acha ayaagize maana yatakua yanapiga mieleka mpaka atakoma,lakini pale hawezi kuwa peke yake ,wapo wengine walio nyuma yake ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…