Mdogo ake the BOLD
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 510
- 871
Mbona bei rahisi ivi2OO,OOO,OOO X 6O = 12 BIllions katoa wapi?
Naska yamefika 4OOM kwa mojaMbona bei rahisi ivi
2300 ya kwenda wapi hayo malori?
Nawashangaa wanavyosema ni ya bwana tozo. Simpendi bwana tozo ila esther ni mali ya didas ngeleuya. Mayutong ukinunua 5 unakopa 5. Uko sahihi kbs jina la ether ni la bintiye... maybe wanaunga dots kisa lilianzia route ya singida. Kule jamaa aliona fursa ndo maana alianzia kule.
Unataka kama zipi??Ameshaagiza tuletee evidence, au umesikia tu story..!!
Wote hamjuwi kitu chochote kuna group la Whatsapp wameanika ukweli wote mpka risiti za majina na kila kitu nyie bishaneni tuu hukuNawashangaa wanavyosema ni ya bwana tozo. Simpendi bwana tozo ila esther ni mali ya didas ngeleuya. Mayutong ukinunua 5 unakopa 5. Uko sahihi kbs jina la ether ni la bintiye... maybe wanaunga dots kisa lilianzia route ya singida. Kule jamaa aliona fursa ndo maana alianzia kule.
Halafu kesho utaandoka vijana hawana ajira. Ajira ndio hizo, magari 60 piga hesabu ya ajira za moja kwa moja na ajira zisizo za moja kwa moja. Wenzio wanabuni miradi, wanatafuta wabia, wanakopa benki, we utakalia unauliza wanapata wapi hela?Nawasalimu Wakuu,
Nchi inaenda pabaya Wakuu, TISS msaidieni mama..,. Hivi inakuwaje Waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu?
Huyu Waziri Fedha hizi za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata wapi?
Kazi kwenu!.
Umeambiwa basi 60 ndo zimeagizwa, mleta Mada hajasema Ester ana basi 60. Kama unajua anazo 3 basi sasa zitakuwa 63.Basi za ester hazizidi Hata 3 Leo aagize 60??
Woii. Wewe ndo wajua siyo.Wote hamjuwi kitu chochote kuna group la Whatsapp wameanika ukweli wote mpka risiti za majina na kila kitu nyie bishaneni tuu huku
Ungekaa kimya kuliko kuandika, achana na watu wa data wewe!Acheni kumshambulia whistleblower! Yeye kapuliza kipenga TU ni juu yenu kuingia field mtuletee hayo maushahidi hapa. Acheni uvivu wa kuusaka ukweli!
cc:madeluHao wajomba nao utajiri wa ghafla wameutoa wapi?
Mwigulu "alijisifu" mwenyewe kuwa katoka familia masikini kuwa viatu vya kwanza kavaa sekondari kwa hiyo hawakuwa na uwezo wa kumnunulia viatu
Wakati wa Magufuli kulikuwa na huu upuuzo hata kidogo??Acha uboya wewe....Kwa hiyo umenuna mtu kujinunulia magari?Hebu acha akili za kimasikini mkuu!Au haupendi tukalione ziwa Singidani?πππ
Hutonielewa.Ukiimbaimba tujinyimbo JF bila ushahidi hautotofautiana na ngedere mwitu.Mshitaki na ulete ushahidi kwa mujibu wa sheria.Hauna uthibitisho,bana mkia wako kiunoni.Natania.Lete ushahidi afungwe na kulipa mkuuππππWakati wa Magufuli kulikuwa na huu upuuzo hata kidogo??Acha uboya wewe....
NB:Boya huokoa anayetapatapa kufa kihoro majini.Hutonielewa.Ukiimbaimba tujinyimbo JF bila ushahidi hautotofautiana na ngedere mwitu.Mshitaki na ulete ushahidi kwa mujibu wa sheria.Hauna uthibitisho,bana mkia wako kiunoni.Natania.Lete ushahidi afungwe na kulipa mkuuππππ
Siku zote wanasema usishindane na mwanamke kwa kuongea la sivyo lazima atakuzidi tu taka usitake....Nimekuachia wewe ambaye unajuwa zaidi....Tupo humu jamii forum zaidi ya 16 years so mtu anaesema ukweli tunamjuwa na anaeongea pumba kutafuta kiki tunamjuwa so wacha nikuachie wewe mjuaji zaidi zaidi.....Hutonielewa.Ukiimbaimba tujinyimbo JF bila ushahidi hautotofautiana na ngedere mwitu.Mshitaki na ulete ushahidi kwa mujibu wa sheria.Hauna uthibitisho,bana mkia wako kiunoni.Natania.Lete ushahidi afungwe na kulipa mkuuππππ
Hata sisi majobless tutapata kazi hapo bwanaMuache waziri awekeze ajira huisha