DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Duuh!
Huyu huyu Nchemba anayesema wasiotaka tozo wahamie Burundi huko?!
 
Boss wao kawaambia wale urefu wa kamba yao.

Ila akumbuke ya Basil Pembambili Mfamba, Daniel Yona kilichowapata baada ya kuwa nje ya system.
 
Watu wa aina yako ndio mlikua mkishangilia madaraja na barabara kuona yanajengwa mkijua ndio maendeleo,
Maendeleo sio barabara na masoko peke yake kuna mengi zaidi
 
Hebu niambie sehemu ya kwenda kuuliza, na hizo taratibu.
Nakumbuka yule chawa wa Zitto Kabwe ni somebody Nondo kama sikosei alikwenda tume ya maadili kufuatilia mkubwa Fulani akakuta amedanganya Mali alizojaza kwenye fomu, lakini alipigwa danadana mpaka naona akakubali yaishe.
 
Hiyo kampuni mmiliki halisi ni NaΓ±i? Na kama ni Mwigulu Nchemba ameikabidhi Kwa board of trustee waiendeshe na yeye kukaa pembeni?

Pili bill of loading ni dollar ngapi na calculation ya ushuru ni shilling ngapi? Lete details.
Juha mkubwa huna unachokijua Kaa tu Kimya sawa? Unajifanya una Akili wakati unazidiwa na hata Dereva Bodaboda tu anayekuchapia Mamsampu wako.
 
Hata kama katiba basi ni mwizi mzuri

Kuiba na kuwekeza nchini na kuongeza ajira ni kuzuri kuliko kuiba na kupeleka pesa nje uswisi nk

Mabasi 60 kila basi linakuwa na madereva wawili na wahudumu wawili jumla wanne

Nne Mara mabasi 60 ni kuwa yataongeza Ajira za watu 240

Hao 240 wana wategemezi chukulia kila mmoja anawategemezi wawili jumla ya watakaofaidika ni wao 240 jumlisha wategemezi 480 .Wataokafaidika direct na hizo ajira ni 720

Bado kuna TRA hapo wanafaidi,bado wenye nyumba za kupangisha wanafaidi, bado vituo vya mafuta vitafaidi kujaza mafuta hayo magari,bado magereji watafaidi nk

Watanzania tuache utoto tukiona wazawa wanawekeza kwenye nchi tuachane na wivu wa kijinga

Watu wabaya ni waenda kuficha pesa nje

Binafsi kama ni kweli kaagiza mabasi 60 nampongeza
 

Uchumi haujengwi hivyo aisee. Hao wanaoibiwa kwanza watakosa motisha ya kutafuta hela zaidi. Na kama ni masikini ndiyo unawazadishia umaskini. Hata kama hizo hela za wizi zitatengeneza ajira 1000, zinaweza pia kuharibu au kuuwa ajira zaidi ya 1000. Labda kama angeiba nchi nyingine kama Wazungu walivyoiba kwenye makoloni yao na kuja kuwekeza nyumbani ndiyo ningekuelewa.
 
Kwa hiyo umenuna mtu kujinunulia magari?Hebu acha akili za kimasikini mkuu!Au haupendi tukalione ziwa Singidani?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nimepanda juzi Kiomboi/ Dar.
Shida sio kununua mabadi, aagize hata 100. Chamsingi iwe ni pesa ya biashara sio tozo.

Kwa sheria zetu wanadhiniti vipi mgongano wa kimadlahi viongozi wetu wenye nyadhifa nyeti kuwa wafanya biashara? Maamuzi Yao kwenye baadhi ya mambo yatakua sawa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…