Man filandu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2023
- 412
- 402
Wewe issue sio kupitia station kadhaa kubwa za bongo, jibu mada hapo juu.Humjui Lilian Mwasha basi utakuwa hujawahi kusikiliza Radio maana amepita station kadhaa kubwa bongo
Hiko sio kigezo kuna watu wamepitia nafasi mbalimbali lakini bado wameliingiza Taifa kwenye janga