Ustafute umaarufu kwa mambo ambayo wewe ni mbumbumbu. Bakia kwenye fasishi zako tu zisizo na kichwa wala miguu.
Hivi ni watoto wangapi wanajuwa ni nani analipa ada ya shule? Mimi binafsi niko na mke wangu miaka zaidi ya 30. Suala la ada za shule huwa mke wangu ananipa summary ya mahitaji ya watoto na ninamkabidhi. Na yeye ndiyo ana deal na kuwalipia.
Sasa Lillian Mwasha akikutana na mwanangu akamuuliza swali kama hilo si atajuwa kuwa na mimi nimemtlekeza mwanangu!!
Hebu
Robert Heriel Mtibeli soma majibu ya waziri kwenye comments mbalimbali ukiwa na akili yenye utulivu, utaelewa kosa la Lillian Mwasha