DOKEZO Waziri Gwajima, hii anayofanya Lillian Mwasha kwa watoto siyo sawa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ubarikiwe, tumshukuru Mungu, tuombeane tupate Rehema zake kwa ushirikiano zaidi, ushirika wa Rehema zake [emoji1431][emoji1666][emoji1241]

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Ila mh waziri sikuhizi umepoa sana hii habari ungeileta wewe kwenye media ungeileta in a very professional way mbona tungetafutana mwezi mzima
 
Kuna wazazi sahvi wanataka kuwalea watoto wanavyotaka watoto zao
Mfano kutaka sim kubwa na vitu vingine vya anasa

Ova
 
Ila mh waziri sikuhizi umepoa sana hii habari ungeileta wewe kwenye media ungeileta in a very professional way mbona tungetafutana mwezi mzima
Ushirikishaji jamii ni muhimu. Mm nitapita jamii itabaki, nao washike wajibu wao kwa uendelevu wao kwenye Ustawi na Maendeleo ya Jamii. Mm Niko mkutano Mumbai, India na bado nimeona nikainuka kusukuma ajenda. Nimepoa hapo kweli?[emoji9]

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa labda kma yuko kwenye mission
 
Ni sahihi kabisa.
Mwanadada hajakosea hata kidogo.
Ustafute umaarufu kwa mambo ambayo wewe ni mbumbumbu. Bakia kwenye fasishi zako tu zisizo na kichwa wala miguu.

Hivi ni watoto wangapi wanajuwa ni nani analipa ada ya shule? Mimi binafsi niko na mke wangu miaka zaidi ya 30. Suala la ada za shule huwa mke wangu ananipa summary ya mahitaji ya watoto na ninamkabidhi. Na yeye ndiyo ana deal na kuwalipia.

Sasa Lillian Mwasha akikutana na mwanangu akamuuliza swali kama hilo si atajuwa kuwa na mimi nimemtlekeza mwanangu!!

Hebu Robert Heriel Mtibeli soma majibu ya waziri kwenye comments mbalimbali ukiwa na akili yenye utulivu, utaelewa kosa la Lillian Mwasha
 
Tatizo umerukia post... hiyo post nimejibu kumjibu niliyemquote. Kaangalie alichoandika yeye then compare na nilichojibu.

Cha ziada tu kama at 50 bado unakula wanawake hovyo hovyo ambao huna malengo nao basi una matatizo makubwa
 
Alimaanisha zile amsha zako enzi za mzee,mambo site
Sikuhizi umepoa
Au unakwenda na upepo wa watawala?
 
Sisi wa JF tumekusoma na kukuelewa. Kwa kuwa clip hii imekwenda kwenye platforms nyingi za social media kama WhatsApp na Instagram, ni vizuri sasa Wizara yako ikatoa press release kuonyesha msimamo wa Serikali kwenye mambo haya na kukemea ufedhuli huu.

Nawasilisha
 
sahihi kabisa mkuu
 
Alimaanisha zile amsha zako enzi za mzee,mambo site
Sikuhizi umepoa
Au unakwenda na upepo wa watawala?
Kabisa, abadishe maofisa habari alionao wamezubaa, ona waziri yuko india kutuwakilisha wananchi hatujui, pale uvccm wapo vijana wanafanyakazi nzuri hebu badili team yako.
 
Kuna baadhi ya wamama wanapenda
Kuwapotosha na kuwadanganya watoto zao,ilimradi tu baba aonekane
Mmbaya

Ova
 
Tatizo umerukia post... hiyo post nimejibu kumjibu niliyemquote. Kaangalie alichoandika yeye then compare na nilichojibu.

Cha ziada tu kama at 50 bado unakula wanawake hovyo hovyo ambao huna malengo nao basi una matatizo makubwa
Sisi tunajadili malezi ya watoto mashuleni wewe unaleta habari za matumizi ya kondom, sasa tukuambie wazee condom haivaliki the moment inafika mwisho jogoo keshawika
 
Naona umeruka na mimi mazima.....
Ulijua nitakuja hapa ukawa unanisubiri?
Rudia kusoma afu uone nani kaja na sababu za "kitoto".
Jina lako limenifanywa nishindwe kujua jinsia yako, nta assume ni Ke.

1. Ushamuona mtu haeleweki why umbebee mimba? Thought mimba itambadilisha?
2.Ukimwambia mtoto " babako ni mshenzi , hakuhudumii" itamsaidia nini?
Out of all solutions umeona Condom tu? Kama issue ni Condom vaeni hata za kike si zipo.
Nnachokataa mimi ni kuwa haisaidii chochote kulaumu Jinsia moja kwenye swala la watoto wanaolelewa na mama pekee.
Na mtazamo ukiendelea kukaa hivyo, kuwa wanaume ndio chanzo.
Basi tuendelee kukaa na hili tatizo mpaka mwisho wa dunia......
Ila tukiamua kuliadress linaweza kuwa solved.
 
Hao watoto wote wamevishwa ubaya kwa baba zao kupitia mama zao. Mtoto nasema aliachwa na baba ake akiwa na siku 40 mwingne akiwa mimba. Mwingne anasema baba halipi ada analipa mama.

Na huyo Lilian Mwasha nae ni mpumbavu tu amekaa hapo ku cultivate chuki baina ya watoto na baba zaoZ what is the essence of that? Naunga mkono akemewe na apigwe vibao mbwa huyo.

Laiti kama watoto wote wangekua wanaelezwa na ubaya wa mama zao kwa baba zao wangekua wana balance story. Always men are there to be blamed. What if makosa ni ya mama zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…