DOKEZO Waziri Gwajima, hii anayofanya Lillian Mwasha kwa watoto siyo sawa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ain’t trying to play gender card, atleast not here sweet!

Sitaandika mengi kwa maelezo yako ambayo yanajibiwa na neno moja tu “Haukubakwa”. And you had options za kutokumwaga ndani au kuvaa Condom, usijustfy irresponsibility in the name of ulitegeshewa, unawezaje kutupa ushahidi wakutegeshewa ikiwa mlikuwa wawili chumbani? Kama ulibakwa sawa, je ulireport popote for further reference?? It sounds funny I know.

Nchi yetu haijaruhusu sheria ya abortion, Kwahiyo kama two people were humping kikapatikana kiumbe ni busara kukilea kwa pamoja. “Pamoja not necessarily ikawa ndoa”.

Mtoto akishazaliwa ni matokeo tayari, hakuna justfication ya kutokuwepo katika maisha yake unless umepima DNA umejiridhisha sio wa kwako.

Mwisho; sijui mengi yanayoendelea kwenye mahusiano yenu, kwa hicho ulichokiita kulishwa sumu, ila nilikua najaribu kueleza maumivu wanayopitia hao watoto waliokataliwa, Sikia mtoto ni mtoto haimaanishi ni mjinga, kama ulijaribu kuwa katika maisha yake atajua tu, na kama ulimkataa mazima atajua tu ni suala la muda, hao wasichana hapo ni wakubwa, probably wanaelewa vizuri kilichotokea kwenye maisha yao na wazazi wao.
 
Sioni alichokosea, ifike wakati wababa wawajibike na malezi
Hao wasichana wanahitaji upendo na malezi ya baba zao
Yani wewe hauoni alichokosea!! Kweli wewe una JINSIA MBILI.
Wewe umewaza kuwajibika kwa baba, je upande wa baba ushawai kuhusikia lawama zake juu ya upande wa mzazi mwezake?
 
Wewe ni mpuuzi. Kwahiyo wanaume wote duniani wanaokataa kuhudumia watoto ni kwasababu ya mwanamke? you were born angels au sio? Pathetic creatures wote wanawaza hivi
 
Mheshimiwa huwa nakupita kimya kimya hapa JF lakini nimeona nawiwa kukupa hongera kwa uwajibikaji wako na kuwa karibu na jamii kwa maswala yanayokuhusu.
Hongera sana mama.
✅👏👏👏
 
Kudos Mheshimiwa, suala la wazazi kutelekeza watoto ni suala moja, Alilolifanya Lilian ni suala lingine kabisa ambalo ndilo lengo la hii thread.

Umeelewa kwa usahihi mheshimiwa, na umechukua hatua sahihi.

By the way, kuna miongozo ya kufanya kazi na watoto (working with children), ili kutokusababisha Vulnerability na harm. Hili litiliwe mkazo, sio kila mtu anapaswa kupewa access na watoto tena wa sensitive issues kama hizi.
 
Mkuu, sisi tumeumbwa kuwaongoza wanawake, sisi wanaume ni viongozi wao. Mwanaume ni mtatuzi wa changamoto zote.

Huwezi kumuacha mtoto wako apate shida kwasababu ya visirani na tabia mbaya za mwanamke uliyezaa nae. Unaweza kukaa mbali na mwanamke uliyezaa nae ila hutakiwi kukaa mbali na mtoto wako, damu yako. Wapo wanaume wameenda hadi mahakamani ili wapate fursa ya kulea watoto wao pale ambapo mwanamke ameanza kuleta visirani.

Ukitafuta sababu za kutelekeza mtoto au kutotimiza wajibu wako kama mzazi hautozikosa mkuu. Lakini zote hazitokuwa na mashiko hata kidogo.
 
Hivi utaratibu wa kuwafanyia canceling single mothers upo au tuufanyie tafiti!!?
Nijanga kwa sasa maana katika wanawake 10 wanaotaka kuanzisha mahusiano mapya 8 ni single mothers!
Au turudishe maamuzi ya kuwajibisha vijana kwa wazee wa mila, kaya au koo kama zamani!? Mfano ni kule meru! No kiduku , no mini skirt, no mlegezo na maujinga mengineyo!
Serikali shirikianane na na hizi mila kuoitia wazee nyie kama serikali muwe watu wa kati na wamwisho ila mamlaka ya kuadhibu waachieni wazee huko nyie mtoe tamko na muwe waamuzi wa kati na mwisho!
 
Ana wazimu huyo ni brainwashed hujikuta yeye ndo anajua kila kitu...
 
Huyo akishaona majina ya kigalatia mfano kina Ester,Dorika or Dorice,Maria n.k mapepo yanampanda....
 
Huyu nae ni mgonjwa... Afya Ya Akili ni serious problem nchini.. very serious.
 
Mh. Dr Gwajima D, kwa jinsi unavyoijali kazi yako, nimekuvulia kofia👏👏👏🙏

Ninakufananisha na kuku wa kienyeji anayeyaatamia mayai yake kwa ajili ya kuvitotoa vifaranga. Huwa wako tayari kushinda ndani bila kula ili tu kuhakikisha mayai wanayoyaatamia hayahatiribiki kwa kupigwa na ubaridi.

Mchango wako wa mwisho kwenye huu uzi uliutoa saa Jana saa 2237, na huu wa sasa (leo) ni wa saa 0447.

Inafahamika kuwa mbali na kuwa Kiongozi wa Serikali, wewe pia ni mke na mama! Kwa hiyo hata ukitoka kazini bado una majukumu ya kifamilia n.k.

Ndiyo maana najiuliza, "huyu mama anapata muda wa kutosha kupumzika?"

Inawezekana alilala kwenye saa Sita au Saba za Usiku, lakini bado amemudu kuamka mapema na kuanza majukumu yake hata kabla hajaenda ofisini!

Dr, hakika unanihamasisha sana kwa uchapaji kazi wako! Hongera sana mama🙏🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…