t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Njia rahisi kabisa ya kuiba mali ya uma ni kupitia manunuzi !!mbona huyu wa juzi kazi mwamunyange yeye hajakabidhiwa? ama yeye utaratibu wake uko tofauti? ila kwa nchi masikini kama bomgo kuendelea kukumbatia haya mashangingi ambayo ulaya yanamilikiwa na matajiri wakubwa tu ni kuendelea kuwa masikini tena masikini hohehahe.
Hayo madude ni latest na ghali na ikitokea tukaambiwa bei yake humu wote tutanuna.