Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

too late. MAGUFULI NI MPANGO WA MUNGU. Katiba mpya ijayo watu watafunguka na kutulia, kwa sasa ngoja mpango wa Mungu utimie, watu kujifunza ndio mpango wa Mungu. sorry nje ya mada lakini HII ndio HOJA MAMA

Nje ya mada lakini umesomeka vilivyo.
 
Hakunaga Dictator mwenye confidence duniani wote wanaishi kwa mashaka, wanambwelambwela tu wanaogopa hadi vivuli vyao! wamebana mwisho wameachia.
Bado hatatashiriki uchaguzi wa kihuni, labda chama cha mrema chenye mwenyekiti wa kitongoji mmoja nchi nzima.
 
Kama kuna uamuzi wa hovyo uliwahi kufanyika basi ulikuwa huu wa mapingamizi ya kijinga kabisa
Asante kama mmeliona hilo
Jamani twendeni tukashiriki uchaguzi hali sasa ni shwari

Mbona wakati mapingamizi yamewekwa hukusema hivo.
 
idawa,
It is never too late in life and that public figures have to keep their words in Tanzania public figures do not keep their words 'Kiongozi wa kitaifa inatakiwa kutunza kauli Viongozi wetu wengi wa kitaifa maranyingi hujitoa ufahamu'
 
Hapo hapo ndio tatizoooo!!
Naona Jafo sasa na wapambe wake hawaileweki is too late. Mawazo ni kama vile yanategemea amelala kwa mke yupi siku hiyo. Hakuna sheria badala ya personality tu hapa. Sijawahi kuona mfumo waziri ndiye atakuwa anatoa maamuzi kwenye chaguzi! Na ni wa chama kimoja[emoji23]. Yaani kama huoni kuna tatizo la kisiasa Tanzania wewe ndiyo tatizo.
 
malaika kainyea nchi
nchi inanuka ujinga
na ole wko ww Jafo nione jina langu
kwa listi ya wagombea mimi nilijitoa kabla ya tangazo la chama
 
Huu uchaguzi umeukoroga nchi Sana. Binafsi siamini kama DCI alipaswa kujitokeza kulisemea Jeshi la polisi. Jeshi la polisi lina msemaji. Kitengo chake hakihitaji media kufanya kazi. Kituko kingine na msajili kujitokeza kuongelea maswala ya uchaguzi badala ya kukomaa na kazi yake. Huu mchezo wa TAMISEMI na hauhitaji hasira.
 
Chadema haina pesa za kampein ,vyovyote vile chadema kinakwenda kufa kifo cha kibudu

State agent
 
[emoji30][emoji30][emoji30]
masoudkipanya_B4o0u68j7Kl.jpeg
 
Wewe tatizo ni mpuuzi sana, hujui unachopigania. Ni sawa na bendera fuata upepo tu.
Lile swali dogo ambalo sijajua limeenda wapi sasa limekuwa swali la msingi.

Je, Chadema watarudisha udhamini kwa wanachama wao waliorejeshwa kwenye uchaguzi?

Maendeleo hayana vyama!
 
Waliomtuma hawakumtega bali wote walioshiriki uharamia huu waliamini watafanikiwa yote hii ni kwa sababu ni mambumbumbu wakafikiri wapinzani na wananchi nao ni mambumbumbu
mlimsikiliza bashite asiye na chembe ya elimu wala huruma mkadhani mtawahadaa wananchi.

Mission Unaccomplished ***bashite jafo jiwe na team yenu aka praise team
 
Back
Top Bottom