too late. MAGUFULI NI MPANGO WA MUNGU. Katiba mpya ijayo watu watafunguka na kutulia, kwa sasa ngoja mpango wa Mungu utimie, watu kujifunza ndio mpango wa Mungu. sorry nje ya mada lakini HII ndio HOJA MAMA
Kama kuna uamuzi wa hovyo uliwahi kufanyika basi ulikuwa huu wa mapingamizi ya kijinga kabisa
Asante kama mmeliona hilo
Jamani twendeni tukashiriki uchaguzi hali sasa ni shwari
Lesbian gay bisexual transgender
Kale kadwarf eti kalipeleka wañasheria elf moja ili kuhálalişha uhuni
Naona Jafo sasa na wapambe wake hawaileweki is too late. Mawazo ni kama vile yanategemea amelala kwa mke yupi siku hiyo. Hakuna sheria badala ya personality tu hapa. Sijawahi kuona mfumo waziri ndiye atakuwa anatoa maamuzi kwenye chaguzi! Na ni wa chama kimoja[emoji23]. Yaani kama huoni kuna tatizo la kisiasa Tanzania wewe ndiyo tatizo.
We kenge tumbowe atupe ukweli chadema imesimamisha wagombea wangapi?
Hivi kinapatikana wapi hiki kitabu? PDF naweza pataTuna uongozi coward ajabu. Epitome of cowardice... Ref Asbert Ngurumo's book
Lile swali dogo ambalo sijajua limeenda wapi sasa limekuwa swali la msingi.
Je, Chadema watarudisha udhamini kwa wanachama wao waliorejeshwa kwenye uchaguzi?
Maendeleo hayana vyama!
Ndio mkatoa maelekezo watendaji wakimbie ofisiChadema haina pesa za kampein ,vyovyote vile chadema kinakwenda kufa kifo cha kibudu
State agent
Na upinzani wakithubutu tu kurudi watakuwa wapuuzi kweli kwani, kinachotafutwa hapa ni legitimacy, tu ya kuwa wote walishiriki lakini matokeo yao yako pale pale tu!! Hangaisha bwege.Huu uchaguzi ushatiwa najisi ni bora ufutwe tu tuanze upyaaaa.