Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Kushindwa kujaza fomu na kuzirejesha kwa kuchelewa; Uzembe.

Watanzania hatupaswi kufanya majaribio ya Uongozi kwa wazembe kama hawa.
Sasa unawarudishaje wazembe ktk uchaguzi? Unataka tena kushindana na wazembe? Dah! Inawezekana Jafo ni Jasho ktk lugha ya kwenu.
 
Namuona jafo hapa UTV wagombea wa chadema walikuwa 19% ya wabombea wote

CUF likuwa na wagombea 4% ya wagombea wote

VYAMA vilivyobakia walikuwa 1.005 ikiwemo na ACT

CCM ilikuwa na wahombea 79& ya wagombea wote

Form zilizokataliwa zilikuwa asilia 28.66% ya form zote


State agent
"wahombea"kuandika tu kwako ni shida huko kichwani si kuna matope kabisa
 
Hii ndiyo tanzania, nchi ambayo inasadikiwa kuwa ilikuwa kitovu cha demokrasia afrika. Sasa ni nchi ambayo pia inadhaniwa kuwa demokrasia katika nchii hii umekufa
Na sababu kuu ni kuwa chama tawala CCM ambacho zamani kilijinasibu kuwa, kina mbinu 1000 za kushida uchaguzi. Sasa kimebanwa kiasi kuwa kinaitumia serikali yake kulazimisha mambo. Na bahati mbaya hata mawaziri nao wamekoswa mbinu. Wamebaki kutamka kile wao wanadhani ni jawabu kumbe si jawabu mbali ni jibu. na wamekoswa hata aibu leo wanalopoka hili kesho lile. NILIMSIKIA JOFO ANADAI KUWA, WAGOMBEA WA UPINZANI WAO NDIO WALIKOSEA KUJAZA FOMU
. NA KANUNI ZIMEWAONDOA MTU ALIYE JAZA FOMU VIBAYA. SWALI ANAWARUDISHA KWA KANUNI HIPI, VIPI KAMA AMEWEZA KUWARUDISHA KUPITIA MAMLAKA ALIYO PEWA VIPI AWEZI PIA KUAMURU KUWATANGAZA CCM KUWA NDIYO WASHINDI. Vyama vya upinzani kwa umoja wenu, uchaguzi huu uwafundishe kudai tume huru
Mkiingia kichwa kichwa mkakubali kushiriki uchaguzi huu, hakika yatawakuta na kamwe msifikirie kuwa wagombea wenu wakishinda watatangazwa. KUMBUKA WAHENGA WALISEMA, AKUMULIKAYE USIKU, MCHANA ATAKUCHOMA.
 
Waziri kapwaya Sana kwenye hili na msingi wake ni chama chake kimehodhi shughuli nzima ya uchaguzi Kwa hiyo uwazi unakuwa sifuri.
 
Nimeipenda hii kauli ya Msimamizi mkuu wa uchaguzi wa serikali za mitaa Waziri Jaffo.

" Hakuna Kukimbiana Lazima Kieleweke"

Chadema msiweke mpira kwapani rudini uwanjani refa anawaita.

Maendeleo hayana vyama!

cc: Daudi Mchambuzi
Jinga sana
 
Huyu dogo anayeitwa Jafo ni wa kuonea huruma.

Waziri wa TAMISEMI ni Jiwe. Kakaa pembeni wakati kila Jafo anachosema katumwa na Jiwe na Bashite.

Kwa sababu sio mazuri, Jiwe hatajwi. Yangekuwa mazuri, kila credit ingekwenda kwake.

Nchi za wenzetu Jafo ange resign amwachie Jiwe zigo lake ahangaike nalo.
 
Sasa hii nini? Utawala wa “sheria” umeenda wapi? Hili sio jambo la kusherehekea. Haiwezekani watendaji wafanye madudu ya kipumbavu (wengine kwa kufuata maelekezo...) harafu eti boss wao anakuja kutengua. How come?

Sasa atawachukulia hatua gani? Will there be a free and fair election hapa? Waliofanya madudu ndo hao hao watakaosimamia zoezi tena
100%. Je, hadi sasa kuna aluyetumbuli? Na kama siyo, kwa nini?
 
Hata anapofanya mabadiliko ya maamuzi ambayo yamaefanywa na wasaidizi wake, amewawajibisha hao wasaidizi? Anasumbua tu kwa kosa ambalo hakufanya yeye. Yeye angefanya maamuzi magumu ya kujiuzulu au kuwawajibisha walioko chini yake walioharibu mchakato wa uchaguzi makusudi kabisa.
Na huu ndio ungekuwa uamuzi sahihi kwa kiongozi anayejitambua, tatizo ni msaka tonge analipapambania tumbo lake hapo ndipo anapogeuka kuwa kituko na kichekesho mbele ya jamii na mbele ya familia yake. Anacheza kila ngoma anayopigiwa. Daah😂😂😂
"Njaa mbaya sana" (Sakayo)
 
Sasa huo ndio mwaka gani jamani duu. Kumbe makosa madogomadogo hufanya kila mtu.
Umeonaee hahaha!! Na sisi hatuitambui taarifa hii, tumeitupilia mbali mpaka kieleweke. Tumeweka wanasheria wetu 30,000 tupi makini ktk kusima taarifa za Jafo. Akajipange tena
 
Nimeipenda hii kauli ya Msimamizi mkuu wa uchaguzi wa serikali za mitaa Waziri Jaffo.

" Hakuna Kukimbiana Lazima Kieleweke"

Chadema msiweke mpira kwapani rudini uwanjani refa anawaita.

Maendeleo hayana vyama!

cc: Daudi Mchambuzi
Aache Upumbavu wake. Wamejitangazia Ushindi kupitia Polisi na Vyombo Vingine vya Dola, wanang'ang'ania nini sasa? Wameachiwa kama walivyosema Wanachukua SM, haya wachukue.

Kuwa CCM mpaka Mnatia Kinyaa, mnajua Kabisa Ushenzi mnaoufanya lakini mnaongea kauli za Kitoto. Tatizo mumeishaona Watanzania Wengi hamna Kitu Kichwani, yaani Shule hamna. Laiti ingekuwa kwa Jamii iliyoelimika yaani Mataifa waliyoelimika, Mbona Mngejutia Kauli zenu. Bahati Mbaya Many Tanzanians are like Dead bodie. Hopeless Kabisa.
 
You motherfuckers are so insane!

Yaani mfunge ofisi watu wasirejeshe fomu

Waliorejesha muwafute

Halafu mnataka tuje tubariki huo “uchafuzi” wenu?

Halafu mnaongea kijuu juu tu eti “Chadema msiweke mpira kwapani”!

Lugha za kimalaya sana hizi!

Halafu mnataka tuwachukulie serious kwkaweli?

Mnadhani kuna mitoto hapa?

Wajinga kabisa nyie!

Haji mtu!

Na mkitufata ni mezani,masharti kama 100 hivi na yatekelezwe yote,otherwise endeleeni na kujipitisha!

Mamaaaeeee zenu nyote!
Kwa matusi haya usipopigwa ban basi moderators utakuwa ulishawaweka kiganjani!
 
Back
Top Bottom