WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,373
- 3,139
Sasa unawarudishaje wazembe ktk uchaguzi? Unataka tena kushindana na wazembe? Dah! Inawezekana Jafo ni Jasho ktk lugha ya kwenu.Kushindwa kujaza fomu na kuzirejesha kwa kuchelewa; Uzembe.
Watanzania hatupaswi kufanya majaribio ya Uongozi kwa wazembe kama hawa.
"wahombea"kuandika tu kwako ni shida huko kichwani si kuna matope kabisaNamuona jafo hapa UTV wagombea wa chadema walikuwa 19% ya wabombea wote
CUF likuwa na wagombea 4% ya wagombea wote
VYAMA vilivyobakia walikuwa 1.005 ikiwemo na ACT
CCM ilikuwa na wahombea 79& ya wagombea wote
Form zilizokataliwa zilikuwa asilia 28.66% ya form zote
State agent
Walianza zamani 1+1 = 3 ujinga ule watanzania wakaukubali kwa hiyo huu ni mwendelezo tu19%+4%=23%
Iweje CCM awe na 79%
Nauliza tu miye nilisoma HGL
Maendeleo hayana vyama!
Kina nduguhai wako wengi...Aisee, hakuna dharau kubwa kuliko hii!
Umemtukana tusi baya sana; lakini ndio hivyo tena, mradi watoto wanaenda chooni, hakuna tusi lisiloweza vumilika kwa baadhi ya watu.
Jinga sanaNimeipenda hii kauli ya Msimamizi mkuu wa uchaguzi wa serikali za mitaa Waziri Jaffo.
" Hakuna Kukimbiana Lazima Kieleweke"
Chadema msiweke mpira kwapani rudini uwanjani refa anawaita.
Maendeleo hayana vyama!
cc: Daudi Mchambuzi
100%. Je, hadi sasa kuna aluyetumbuli? Na kama siyo, kwa nini?Sasa hii nini? Utawala wa “sheria” umeenda wapi? Hili sio jambo la kusherehekea. Haiwezekani watendaji wafanye madudu ya kipumbavu (wengine kwa kufuata maelekezo...) harafu eti boss wao anakuja kutengua. How come?
Sasa atawachukulia hatua gani? Will there be a free and fair election hapa? Waliofanya madudu ndo hao hao watakaosimamia zoezi tena
Na huu ndio ungekuwa uamuzi sahihi kwa kiongozi anayejitambua, tatizo ni msaka tonge analipapambania tumbo lake hapo ndipo anapogeuka kuwa kituko na kichekesho mbele ya jamii na mbele ya familia yake. Anacheza kila ngoma anayopigiwa. Daah😂😂😂Hata anapofanya mabadiliko ya maamuzi ambayo yamaefanywa na wasaidizi wake, amewawajibisha hao wasaidizi? Anasumbua tu kwa kosa ambalo hakufanya yeye. Yeye angefanya maamuzi magumu ya kujiuzulu au kuwawajibisha walioko chini yake walioharibu mchakato wa uchaguzi makusudi kabisa.
Umeshapanic!Jinga sana
Umeonaee hahaha!! Na sisi hatuitambui taarifa hii, tumeitupilia mbali mpaka kieleweke. Tumeweka wanasheria wetu 30,000 tupi makini ktk kusima taarifa za Jafo. Akajipange tenaSasa huo ndio mwaka gani jamani duu. Kumbe makosa madogomadogo hufanya kila mtu.
Aache Upumbavu wake. Wamejitangazia Ushindi kupitia Polisi na Vyombo Vingine vya Dola, wanang'ang'ania nini sasa? Wameachiwa kama walivyosema Wanachukua SM, haya wachukue.Nimeipenda hii kauli ya Msimamizi mkuu wa uchaguzi wa serikali za mitaa Waziri Jaffo.
" Hakuna Kukimbiana Lazima Kieleweke"
Chadema msiweke mpira kwapani rudini uwanjani refa anawaita.
Maendeleo hayana vyama!
cc: Daudi Mchambuzi
Kwa matusi haya usipopigwa ban basi moderators utakuwa ulishawaweka kiganjani!You motherfuckers are so insane!
Yaani mfunge ofisi watu wasirejeshe fomu
Waliorejesha muwafute
Halafu mnataka tuje tubariki huo “uchafuzi” wenu?
Halafu mnaongea kijuu juu tu eti “Chadema msiweke mpira kwapani”!
Lugha za kimalaya sana hizi!
Halafu mnataka tuwachukulie serious kwkaweli?
Mnadhani kuna mitoto hapa?
Wajinga kabisa nyie!
Haji mtu!
Na mkitufata ni mezani,masharti kama 100 hivi na yatekelezwe yote,otherwise endeleeni na kujipitisha!
Mamaaaeeee zenu nyote!