Mpira anao Jafo yeye mchezaji refa na msimamizi. Tatizo anachezesha timu moja baada ya kuitoa timu pinzani. Pia hajui kuwa mpira unachezeka kwa utaratibu ambao timu zina wachezaji siyo timu inaingia uwanjani peke yake. Refa ana uzoefu wa kutosha kuchezesha timu yo yote. Uwanja una viwango.Nimeipenda hii kauli ya Msimamizi mkuu wa uchaguzi wa serikali za mitaa Waziri Jaffo.
" Hakuna Kukimbiana Lazima Kieleweke"
Chadema msiweke mpira kwapani rudini uwanjani refa anawaita.
Maendeleo hayana vyama!
cc: Daudi Mchambuzi
Empty headHizi porojo ni bure kabisa
Anatakiwa ajiuzulu. Tayari maji yanachemka yanasubiria mbuzi akatwe kichwa tupate supu.Wakati Suleimani Jafo (MB) Waziri wa nchi OR- TAMISEMI akiongea na waandishi wa habari leo Dodoma kuhusu kufuta maamuzi ya wasimamizi wenzake wa uchaguzi wa ngazi za chini, kuna jambo sioni likiongelewa na wadau hasa humu mitandaoni.
Jambo lenyewe ni hili, JAFO alikuwa akiongea kama kada wa CCM si kama msimamizi mkuu wa uchaguzi. maneno kama " wasiweke mpira kwapani, waje tuwapige, wasikimbie ulingoni waje tuwatandike" si maneno ya refarii nayetakiwa kuwa nutro hata kama ana timu yake. Piga picha Jaji Kaijage mwenyekiti wa NEC ndio anaongea hivi, tuombe asifike huko.
Maendeleo hayana vyama.
Kampeni ya nini?Jiandaeni kwa kampeni
Msije mkaanza kulalamika kile kishindo
Magufuli amezungukwa na mazuzu na vilaza kama weweMbowe amezungukwa na washauri wabaya
toka dr slaa aondoke amekuwa na maamuzi ya kukurupuka
Baba yako bora angemwaga nje au mama yako bora angefanya abortionJiandaeni kwa kampeni
Msije mkaanza kulalamika kile kishindo
Acha wivu wake wengi ni Suna!Jafo amechanganyikiwa na bado utajuta kuwekeza kwenye kuoa tu.
Kweli mkuu, maana Mnafiki namba moja hapa Tz ni Jiwe na woote wanachukua kwake sasa.Kesho jiwe atamfukuza Jafo na kumkabidhi mikoba Mwigulu Nchemba. Atatoa kauli za kupooza pooza makali ili kujaribu kuonyesha naye amekereka.
Wait and see
Mbowe amezungukwa na washauri wabaya
toka dr slaa aondoke amekuwa na maamuzi ya kukurupuka
Mambo ya Maulidi hayo!
Na huyo Jafo eti ndiye mtu anayeonekana ana afadhali katika utawala huu!Wakati Suleimani Jafo (MB) Waziri wa nchi OR- TAMISEMI akiongea na waandishi wa habari leo Dodoma kuhusu kufuta maamuzi ya wasimamizi wenzake wa uchaguzi wa ngazi za chini, kuna jambo sioni likiongelewa na wadau hasa humu mitandaoni.
Jambo lenyewe ni hili, JAFO alikuwa akiongea kama kada wa CCM si kama msimamizi mkuu wa uchaguzi. maneno kama " wasiweke mpira kwapani, waje tuwapige, wasikimbie ulingoni waje tuwatandike" si maneno ya refarii nayetakiwa kuwa nutro hata kama ana timu yake. Piga picha Jaji Kaijage mwenyekiti wa NEC ndio anaongea hivi, tuombe asifike huko.
Maendeleo hayana vyama.
kuna game zingine refarii unashindwa kuwa neutro Kama game ya Leo MAN CITY VS LIVERPOOLWakati Suleimani Jafo (MB) Waziri wa nchi OR- TAMISEMI akiongea na waandishi wa habari leo Dodoma kuhusu kufuta maamuzi ya wasimamizi wenzake wa uchaguzi wa ngazi za chini, kuna jambo sioni likiongelewa na wadau hasa humu mitandaoni.