Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Nimeipenda hii kauli ya Msimamizi mkuu wa uchaguzi wa serikali za mitaa Waziri Jaffo.

" Hakuna Kukimbiana Lazima Kieleweke"

Chadema msiweke mpira kwapani rudini uwanjani refa anawaita.

Maendeleo hayana vyama!

cc: Daudi Mchambuzi
Mpira anao Jafo yeye mchezaji refa na msimamizi. Tatizo anachezesha timu moja baada ya kuitoa timu pinzani. Pia hajui kuwa mpira unachezeka kwa utaratibu ambao timu zina wachezaji siyo timu inaingia uwanjani peke yake. Refa ana uzoefu wa kutosha kuchezesha timu yo yote. Uwanja una viwango.
Bahati mbaya ya Jafo hayajui hayo yote. Hata benchi lake la ufundi kajaza akina Chakubanfa.
Halafu mwenye timu kifafa kinamsumbua mbona mshangao na majanga ya aina yake?
 
Yaaani pale singida kuwa nitahakikisha nafuta upinzani ndo ttzo lilipoanzia huyu kingwendulile anatumika tuuu kama kondo.ooooom
 
Wakati Suleimani Jafo (MB) Waziri wa nchi OR- TAMISEMI akiongea na waandishi wa habari leo Dodoma kuhusu kufuta maamuzi ya wasimamizi wenzake wa uchaguzi wa ngazi za chini, kuna jambo sioni likiongelewa na wadau hasa humu mitandaoni.

Jambo lenyewe ni hili, JAFO alikuwa akiongea kama kada wa CCM si kama msimamizi mkuu wa uchaguzi. maneno kama " wasiweke mpira kwapani, waje tuwapige, wasikimbie ulingoni waje tuwatandike" si maneno ya refarii nayetakiwa kuwa nutro hata kama ana timu yake. Piga picha Jaji Kaijage mwenyekiti wa NEC ndio anaongea hivi, tuombe asifike huko.

Maendeleo hayana vyama.
Anatakiwa ajiuzulu. Tayari maji yanachemka yanasubiria mbuzi akatwe kichwa tupate supu.
 
Hata Seif alidhani ameshiliklia mpini na Shein ameshika Makali Matokeo yake yako wazi.
Kila siku alikua anabaki anatuahidi tu Karibia anakabidhiwa serikali akizunguka karibu dunia nzima kutafuta usaidizi.
Tumwachie Mungu maana ukisusa Huku Afrika watu wanakula hadi sahani yenyewe.
 
Wakati Suleimani Jafo (MB) Waziri wa nchi OR- TAMISEMI akiongea na waandishi wa habari leo Dodoma kuhusu kufuta maamuzi ya wasimamizi wenzake wa uchaguzi wa ngazi za chini, kuna jambo sioni likiongelewa na wadau hasa humu mitandaoni.

Jambo lenyewe ni hili, JAFO alikuwa akiongea kama kada wa CCM si kama msimamizi mkuu wa uchaguzi. maneno kama " wasiweke mpira kwapani, waje tuwapige, wasikimbie ulingoni waje tuwatandike" si maneno ya refarii nayetakiwa kuwa nutro hata kama ana timu yake. Piga picha Jaji Kaijage mwenyekiti wa NEC ndio anaongea hivi, tuombe asifike huko.

Maendeleo hayana vyama.
Na huyo Jafo eti ndiye mtu anayeonekana ana afadhali katika utawala huu!
 
Wakati Suleimani Jafo (MB) Waziri wa nchi OR- TAMISEMI akiongea na waandishi wa habari leo Dodoma kuhusu kufuta maamuzi ya wasimamizi wenzake wa uchaguzi wa ngazi za chini, kuna jambo sioni likiongelewa na wadau hasa humu mitandaoni.

Jambo lenyewe ni hili, JAFO alikuwa akiongea kama kada wa CCM si kama msimamizi mkuu wa uchaguzi. maneno kama " wasiweke mpira kwapani, waje tuwapige, wasikimbie ulingoni waje tuwatandike" si maneno ya refarii nayetakiwa kuwa nutro hata kama ana timu yake. Piga picha Jaji Kaijage mwenyekiti wa NEC ndio anaongea hivi, tuombe asifike huko.

Maendeleo hayana vyama.
kuna game zingine refarii unashindwa kuwa neutro Kama game ya Leo MAN CITY VS LIVERPOOL
 
Back
Top Bottom