Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Mnanenepeana ka kujaza matumbo yenu, ukifika wakati wa kusema mliyoyafanya kwa kipndi chote cha miaka mitano mnakuja na hoja dhaifu mara uonevu, mara udikteta, mara mmeibiwa sijui mmedhulumiwa, kifupi upinzani hakuna lamaana mlilofanya mnaloweza kuwaonyesha wapigakura wenu ndio maana mnaogopa uchaguzihela ya tuisheni inajenga flaiova ya madongokuruka. usiaibishe taaluma adhimu ya ualimu kwa kujiita mwalimu. chama hakisajiliwi bila sera mezani. waliolipa kodi kwetu wataambiwa kodi yao imetumikaje. hela za ruzuku hazijengi madaraja wala zahanati mwalimu pasipo elimu!
Mbowe Mnyika Zitto na wengineo someni hiiNa upinzani wakithubutu tu kurudi watakuwa wapuuzi kweli kwani, kinachotafutwa hapa ni legitimacy, tu ya kuwa wote walishiriki lakini matokeo yao yako pale pale tu!! Hangaisha bwege.
serikali haijengi barabara wala vituo vya afya kwa ruzuku ya chama. kataa kama una ubavu kwamba uliyoyataja hawafanyiwi wapinzani! kodi zetu ndizo zinanunua madege. hakuna chama cha siasa kinachokusanya hizo kodi. mwalimu hujui kabisa anayekusanya kodi zetu? walipa kodi hawana chama ni raia wote, wenye vyama na wasio na vyama.Mnanenepeana ka kujaza matumbo yenu, ukifika wakati wa kusema mliyoyafanya kwa kipndi chote cha miaka mitano mnakuja na hoja dhaifu mara uonevu, mara udikteta, mara mmeibiwa sijui mmedhulumiwa, kifupi upinzani hakuna lamaana mlilofanya mnaloweza kuwaonyesha wapigakura wenu ndio maana mnaogopa uchaguzi
wewe ni wakupuuzwa sijui hata kazi unafanya saa ngapi maana muda wote wewe upo jf kumsifia magufuli kama vile yeye malaikaSiasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena
Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa
Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi
Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego
Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe
Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika
Boxer wapi mayai yako waziKuna watu humu huwa wanatueleza kuwa jafo ni presidential material! Lakini uchaguzi huu utamuacha uchi kabisa, hadi sasa amebaki na boxer tu
Hahahah! Kufikia tarehe 24 itakuwa ni balaa sasa!Boxer wapi mayai yako wazi
Na usenior wako wote jukwaani hapa unakuja kuandika upumbavu kama huuIwe kwa maelekezo au kwa maamuzi yako Mr Jafo, Umeshindwa vibaya kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa.
wewe na mamlaka yako ya uteuzi mmejitia doa kuu. mnahubiri maendeleo hayana chama lakini ukijani umetamalaki.
kila la heri katika kuizika demokrasia. mtakumbukwa kwa hilo.
Umeona eeenhHahahah! Kufikia tarehe 24 itakuwa ni balaa sasa!
dah sio mwepesi sana kucomment ila when it comes to this type of shit that you have posted Mungu akulipe sawasawa na matendo yako kigogo unayejiita mwananchiSiasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena
Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa
Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi
Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego
Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe
Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika
SCraaaaap chadema act na chauma msirudi nyuma kwani lengo lao lilikuwa Nini? Mnavunja Sheria makusudi umma ukiamka ndio mnajirudi endeleeni na uchaguzi wenu maana tayari mna plan B baada ya plan A kushindwa mnatengeneza fitina kwenye taifa halafu mpaka tupige kelele pumbavu tungekaa kimya jeeee?
Mbowe na wenzako kamatia gia walishatingisha kiberiti acha tuone mwisho wake utabiri utimie tulijenja nyumba moja wakati wa kikwete sasahivi magufuli anatugombanisha tugombee fito go on