kemia ni nzuri sana katika mikono inayoongozwa na kichwa elekevu na elekezi. huwezi kuwa na mamlaka kama hauko chini ya mamlaka. kujimwambafai ni tatizo mama. solutions zinatengeneza problems. phd ya maganda ya korosho ingetengeneza kiwanda cha kubangua korosho tupate maganda hapahapa. tunaexport korosho safi tunabaki na maganda. akili ya maganda!Hahahhaa Ikulu wanachanganya solutions zoote had linatokea bomu!š¤