Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Hahahhaa Ikulu wanachanganya solutions zoote had linatokea bomu!🤠
kemia ni nzuri sana katika mikono inayoongozwa na kichwa elekevu na elekezi. huwezi kuwa na mamlaka kama hauko chini ya mamlaka. kujimwambafai ni tatizo mama. solutions zinatengeneza problems. phd ya maganda ya korosho ingetengeneza kiwanda cha kubangua korosho tupate maganda hapahapa. tunaexport korosho safi tunabaki na maganda. akili ya maganda!
 
🤣🤣🤣🤣umevunga mnooo
 
Inasikitisha sana, watendaji aliwapa wasaa mzuri akawahoji vp wanasemaje wananchi kuhusu mm, majibu ya wengi, mkuu bado wengi hawakuelewi.
Jafo aweza kuwa mbuzi wa kafara bure.
 
Hii inaitwa Utamlazimisha Punda kwenda Mtoni lakini huta weza kumlazimisha Kuyanywa Maji Hivyo ieleweke Watanzania wote Utawalazimisha kuitwa wanaCCM ila hawata kuwa Hivyo Tonapo elekea wote tutalazimishwa tukubali kuwa ni Kabila moja pendwa
 
.
IMG-20191113-WA0020.jpeg
 
Mkapa amesema ccm inatawala kana kwamba hakuna vyama vya upinzani. Yaani ndio mwamba na nchi itajengwa juu yake. Inajimwambafy
kemia ni nzuri sana katika mikono inayoongozwa na kichwa elekevu na elekezi. huwezi kuwa na mamlaka kama hauko chini ya mamlaka. kujimwambafai ni tatizo mama. solutions zinatengeneza problems. phd ya maganda ya korosho ingetengeneza kiwanda cha kubangua korosho tupate maganda hapahapa. tunaexport korosho safi tunabaki na maganda. akili ya maganda!
 
Mara nyingi mtu anapokata roho anakumbuka mengi mazuri na mabaya na ndio maana wanasema marehemu kaanza kuweweseka!
Ukiona CCM wameanza kukumbuka kuwa walilishana sumu miaka 20 iliyopita ujue hizo ndio zinaitwa dying statement.
 
Ngurumo amekuwa mwehu Kwasababu ya kutawaza mavi vizee vya kizungu

Arudi nyumbani aache kujifanya mkimbizi
 
Huko juu wanaishi kwa msingi wa vyama. Huku chini tunaishi kama jamii kama majirani. Kwa ujinga wanatuletea ubaguzi wa kivyama. Sisi tunaangalia ni jirani gani anafaa akae mbele wao wanaona ni dude tu liitwalo chama likae mbele. Let people decide themselves who should be their leader hamuelewi tu
Inasikitisha sana, watendaji aliwapa wasaa mzuri akawahoji vp wanasemaje wananchi kuhusu mm, majibu ya wengi, mkuu bado wengi hawakuelewi.
Jafo aweza kuwa mbuzi wa kafara bure.
 
Inasikitisha sana, watendaji aliwapa wasaa mzuri akawahoji vp wanasemaje wananchi kuhusu mm, majibu ya wengi, mkuu bado wengi hawakuelewi.
Jafo aweza kuwa mbuzi wa kafara bure.
Wewe ni mnafiki ulikuwepo?
 
Wekeni sera zenu mezani , waambieni watu mliyoyafanya miaka mitano, sio mnashinda kila siku kupiga soga na kula hela za ruzuku
hela ya tuisheni inajenga flaiova ya madongokuruka. usiaibishe taaluma adhimu ya ualimu kwa kujiita mwalimu. chama hakisajiliwi bila sera mezani. waliolipa kodi kwetu wataambiwa kodi yao imetumikaje. hela za ruzuku hazijengi madaraja wala zahanati mwalimu pasipo elimu!
 
Waziri wa Tamisemi, Seleman Jafo amesema hakuna atakayejitoa uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wote waliochukua fomu na kurejesha watashiriki uchaguzi huo kasoro wenye makosa ya uraia, kutojiandikisha katika mtaa husika, kujiandikisha mara mbili, kutodhaminiwa na chama chake #MwananchiUpdates
vyama vya upinzani havitoshiriki. hakuna mgombea hata mmoja kutoka vyama hivyo. kuna vyama rafiki vilivyotangaza kushiriki havina mgombea hata mmoja. wagombea wote ni wa chama kimoja ndani ya vyama vingi. hawana mpinzani hata mmoja. wanatangazwa kupita bila kupingwa. ushindi wa kishindo bila uchaguzi. jafo atangaze ratiba mpya kwa mwezi. hakuna kampeni. muda huo utumike kushona suti za kijani za kuapa nazo. 24/11 iwe siku ya kula kiapo kwa wenyeviti na wajumbe serikali za mitaa/vitongoji!
wengi walikuwa wakijiuliza kwa nini TAMISEMI ilitolewa chini ya ofisi ya waziri mkuu. mimi nikiuliza kwa nini isiwe na ofisi yake kama wizara nyingine. hayo yatakuwa madaraka makubwa kwa wananchi. hawatawaliki! waziri mkuu ana shangazi bado. hawezi kupiga sawasawa. ofisi ya rais hakuna simile. huko hakuna shangazi (alibaki nchi jirani). ni kupiga kwa kwenda mbele. vyanzo vyote vya uchumi vya halmashauri na ndugu zao manispaa vinakusanywa na tra. makusanyo yote yanaenda ofisi ya rais. tamisemi hawana ofisi! makusanyo yakienda hazina mjomba anayafuata kwa mpwawe. mambo yote vote 20 ambako hata cag kipenzi cha sabufa hawezi kufika. yeye ni mtumishi tu. yeye si mhimili. alitahadharishwa hata mwaka mmoja unaweza kutosha. afahamu anadhibiti na kukagua hesabu za serikali tu. kuna mwenye serikali yake. cag ni jicho la mhimili wa bunge. ameteuliwa na mhimili uliojichimbia zaidi. katiba gani ya kumpa mamlaka ya keteua imnyime ya kutengua? haipo na haitakuwepo!!!
 
Back
Top Bottom