Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Nosense, always a toothless dog barking
Vyama 12 vinashiriki Uchaguzi,so unaweza ukaona namba ni kubwa mno
Democratically it is okey,waliojitoa wanasababu zao mostly watu wanasema vinaogopwa kushindwa
Kasi ya Mr.President John Magufuli imewafanya waishiwe hoja ni vile tu hawawezi ku confess mbele ya wafuasi wao
Wellcome to the next door tujenge Nchi
Achana na mambo ya kupinga,wacheni kutumika na Mabeberu nyie wapuuzi
With dick suckers like you,ndio mnafanya dunia inapata laana kila siku majanga!
Vyama 12 hata majina huvijui!
Na unadhani kuna mwananchi gani anavijua?
No one!
Na mbona mnahanya sana sasa?Kwanini msinyamaze mfanye yenu?
Kila siku asubuhi matamko kama mmechanganyikiwa vile!?
Opposition ina power na you can feel it now maana mlikua mnachukulia juu juu!
Kwenye uchaguzi haji mtu,ni nyie na hivyo vyama hata majina no one knows!
Na kwenye ballot day wanakuja watu wawili!
Kasi ya Magufuli,kasi to nowhere!
Tunacheza chess nyie mnacheza drafti!
Mtaisoma vizuri,bado mezani masharti muyafanye yote bila kuacha hata moja!
Mamaaaeeeee zenu na boss wenu kilaza!