Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Nosense, always a toothless dog barking

Vyama 12 vinashiriki Uchaguzi,so unaweza ukaona namba ni kubwa mno

Democratically it is okey,waliojitoa wanasababu zao mostly watu wanasema vinaogopwa kushindwa

Kasi ya Mr.President John Magufuli imewafanya waishiwe hoja ni vile tu hawawezi ku confess mbele ya wafuasi wao

Wellcome to the next door tujenge Nchi

Achana na mambo ya kupinga,wacheni kutumika na Mabeberu nyie wapuuzi

With dick suckers like you,ndio mnafanya dunia inapata laana kila siku majanga!

Vyama 12 hata majina huvijui!

Na unadhani kuna mwananchi gani anavijua?

No one!

Na mbona mnahanya sana sasa?Kwanini msinyamaze mfanye yenu?

Kila siku asubuhi matamko kama mmechanganyikiwa vile!?

Opposition ina power na you can feel it now maana mlikua mnachukulia juu juu!

Kwenye uchaguzi haji mtu,ni nyie na hivyo vyama hata majina no one knows!

Na kwenye ballot day wanakuja watu wawili!

Kasi ya Magufuli,kasi to nowhere!

Tunacheza chess nyie mnacheza drafti!

Mtaisoma vizuri,bado mezani masharti muyafanye yote bila kuacha hata moja!

Mamaaaeeeee zenu na boss wenu kilaza!
 
Yeye kama waziri wa TAMISEMI ana nia njema na anajitahidi kutuonyesha nia yake njema. Tatizo ni yule Waziri wa TAMISEMI ambaye alitoa maagizo mengine kabisa.

Jafo anajitahidi kutuonyesha hahusiki na madhambi haya
Ukimtumikia shetani.........
 
Hatukumuelewa tu
Alisema waliochukua na kurudisha fomu kisha wakakatwa na kukata rufaa watarejeshwa kwenye mchuano

wewe akili huna,maji yakienda huku na wewe unaenda huku. Shenz type.
 
Leo tarehe 11/11/2019 waziri wa ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa (Tamisemi) Kaja na mapya tena, kwa maelezo yake na nyaraka alizotoa leo kupitia ofisi yake kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, kaja na igizo lingine kuwa yeye jana alinukuliwa vibaya, waandishi wa habari hawakumuelewa kuwa wagombea wote waliopita na ambao hawakuwa na sifa wote warudishwe na washiriki uchaguzi huu utakaofanyika 24/11/2019 . Leo anasema watakaoshiriki uchaguzi huo ni waliomba nafasi hizo na wakapitishwa. Pili waliokata rufaa na rufaa zao zikakubaliwa, hivi huku kubadilika badilika kwa kauli za waziri wa Tamisemi nini kinamsumbua? Mbona anaaibika sana maskini.Wapinzani kaeni chonjo hiki kigeugeu cha Jafo inatafutwa mbinu ya kuwaingiza mkenge kura ziibwe plus maagizo kutoka juu.
Hampati mtu mwenye kujielewa atamuweza Lyatonga tu
 
Hatukumuelewa tu
Alisema waliochukua na kurudisha fomu kisha wakakatwa na kukata rufaa watarejeshwa kwenye mchuano
Wewe ndiyo hukumuelewa kwa sababu huna akili
tapatalk_1567627458569.jpeg
 
Niliwaambia jana kua kuna mtu jana alifura ata chakula haikuingia mdomoni, mwachane Jafo abadili kauli kukaa pending siyo kazi rahisi ndani ya CCM.

Nyie hamkuona Nape alivyodhalilika kwa kuoneshwa akitembea kwa mguu huku waandishi wa habari wakimchukua? ile ilikua ni amri na siyo ombi. Jafo ata kesho badilisha kauli tena.
 
Mgombea anapaswa kudhaminiwa na chama chake ngazi ya tawi...sasa ndugu zetu hawa hawana matawi wala mihuri
Nchi hii haina mgombea huru kwa mujibu wa katiba. Mtikila alishinda kesi, na serikali ilikata rufaa na ikashinda.

Maana yake wagombea ni mali ya chama husika, chama kikijitoa mgombea kajitoa, hawezi kusimama peke yake bila chama.

Otherwise useme kuna concessions mpya ambao nazo siyo official.

Kulazimisha wagombea wasimame kivyao, ni makosa, chama ndicho kinasimamisha wagombea.
 
Jafo kageuka tena,
Kwa mujibu wa tamko hili maana yake ni kwamba kaitengua kauli yake ya jana.
Hilo Tangazo linasema walioteuliwa kugombea ndo watagombea maana yake ni kwamba wagombea wote wa CHADEMA na ACT waliokatwa hawaruhusiwi kugombea
Watu wengi hasa fisiem hawajamuelewa jafool. Kazi yao imebaki kushangilia tu kila lisemwalo.
 
Namuona akitolewa kafara kwa kufukuzwa uwaziri na aliyemtuma kuchezea uchaguzi.

Ccm inaonyesha ata nyie hamjui mnasimamia nini juzi wataruhusiwa kukata rufaa, jana majina yote yamerudishwa leo hakuna mtu atakayerudishwa walioteuliwa ndio hao hao kauli tatu kutoka kwa mtu mmoja ndani ya wiki moja.
Naona Rimote inaoperate vizuri sana from magogoni. Jamaa anabadilisha Channels ajisikiavyo tu.
 
Jafo anahitaji kusaidiwa kwa sasa akili siyo yake tena.Jana alisema amefuta maamuzi yote ya wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi leo amewataka wasimamizi wa uchaguzi kuendelea na utekelezaji kwakifupi jafo ameshachanganyikiwa
Tehe tehe tehee
 
Back
Top Bottom