Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Mkuu wana masikio ila hawatasikia na wana macho ila hawataonaMwenye masikio na asikie
Asema Bwana wa majeshi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wana masikio ila hawatasikia na wana macho ila hawataonaMwenye masikio na asikie
MANCHESTER CITY matokeo yenu tunayoJafo
Tume
CCM
Serikali
Kila hoja wanayotoa kuhalalisha mazonge yao inakosa mashiko na ndio watu wanazidi kuiona hila yao
Yani hizi wiki tatu zimekua Ni za aibu kuu kwa gvt
Pole Sana jafo ivumayo haidumu.
Nimeipenda hii kauli ya Msimamizi mkuu wa uchaguzi wa serikali za mitaa Waziri Jaffo.
" Hakuna Kukimbiana Lazima Kieleweke"
Chadema msiweke mpira kwapani rudini uwanjani refa anawaita.
Maendeleo hayana vyama!
cc: Daudi Mchambuzi
Mkuu utawafanya watu wanune.....kuna game zingine refarii unashindwa kuwa neutro Kama game ya Leo MAN CITY VS LIVERPOOL
Kile kikao cha ikulu kile cha watendaji, nisemeWanabodi, Hakika ule usemi usemao akili sio ukubwa wa kichwa umetimia kwa huyu waziri Seleman Jafo,
Leo unaitisha vyombo vya habari kuomba wale ulioshiriki kuwafuta warudishwe kugombea, Tulishauri bandikeni majina ya wanaccm tu kwenye mbao hapa JF na umetekeleza ushauri wetu hapa JF, Tunakupongeza kwa hilo, Sasa tu nakushauri tena endelea na sera za kifashisti na kibaguzi ili wewe na kundi lako mje mvune mnachokipanda
Jafo alichagua kuwa wa moto kufuata sheria za kifashisti na kibaguzi, Jafo uliamua kuigawa jamii makundi mawili ili lengo lako la watu kupigana na kuchomeana mali lipate kutimia na umeshalitimiza baadhi ya maeneo, Uliamua kukaa kimya ulipoambiwa watendaji wanafunga ofisi hawataki kupokea fomu za vyama vingine
Jafo Leo umegeuka vuguvugu hujawa moto wala baridi, Hujui la kufanya, Mamlaka iliyokuteua imekuzidi akili, Kwa elimu yako ungeandika barua kwa mamlaka ya uteuzi upumzike, Umegeuka kituko mbele ya Jamii
Wewe ni mmoja ya wacheza ngoma wa Pwani uliepata elimu kidogo hivyo tulitegemea utaijenga jamii yako kwa fikra na mawazo, Sasa umegeuka katuni mbele ya jamii
Unaongea huku Facial impression au muonekano wake usoni ni dhahiri una mawazo mengi Sana lakini hujui hatima ya uwaziri wako
Umetumia neno mpira kwapani zaidi ya mara nne huku ukibabaika na kutetemeka wakati wa kuongea, Ni dhahiri mambo kwako ni magumu sana, Huelewi mwisho wa siasa zako za kikatili na kifashisti itakuaje? Leo umeongea kama mtu uliyebanwa sana na kivuli tusichokiona
Seleman Jafo wewe ni sadaka inayosubiriwa na maamuzi ya wananchi, Bosi wako anasubiri reaction ya wananchi Halafu wewe utatolewa sadaka kuwa hujasikiliza wananchi
Maelezo uliyoyatoa Leo yanapingana na ndugu yako Humprey pole pole aliyesema CCM na watendaji wa kata na vijiji walichofanya kuwafuta wagombea wengine ni sahihi,
Jafo unasikiliza chama au unasikiliza aliyekuteua, Kwa ufupi ulipaswa kusimamia ukatili uliouonyesha toka mwanzo na kufa na tai shingoni
Ulisahau kuwa asilimia 90 ya watanzania hawana vyama ni Raia tu wa kawaida, Wewe na kundi lako mlifikiri wale viongozi wa mitaa na watendaji wanaongoza ccm, Act na Chadema
Kumbuka kuna maelfu ya watanzania wamekua maskini, hawana ajira, Hawa hawana vyama bali uchaguzi ni sehemu ya kupunguza hasira na mawazo
Pambana na maisha ya wananchi, CCM na Chadema hamfiki hata asilimia 11 ya watanzania
Sasa waziri Jafo jamii inakutazama kama kituko ambae hujui hatma ya maisha ya siasa zako za moto
eti ndio wanasema atakuwa rais baada ya MagufuliNa huyo Jafo eti ndiye mtu anayeonekana ana afadhali katika utawala huu!
Mkuu utawafanya watu wanune.....
Umekosa mfano mwingine wowote, Bali utoe mfano wa mechi kati ya Liverpool VS Man City
Kishindo kwa kuua upinzani alafu huoni hata aibu unaongea hadhari ww ndio walewale tu wafuata mkumbo.Jiandaeni kwa kampeni
Msije mkaanza kulalamika kile kishindo
Liverpool hakubebwa na Liverpool hafanani na CCMLiverpool kabebwa na mwamuzi hadi aibu.
Hawana tofauti na CCM.
Kama hana sifa ya Jaji kwanini ajifanye kuwa na kutekeleza jukumu la Jaji kwa hiari hata kwa shinikizo? Ona sasa anakejeliwa na kudharauliwa yeye huku aliyemwagiza anaendelea na kazi anayopenda ya kuteua Jumapili akiachana na kanisa maana amegundua anawa-bore waumini wengine. Ashukuru tu katika uteuzi hakutenguliwa yeyote maana angekuwa mmoja wao kwani ni wa pwani lakini hata hivyo akae chonjo maana hatma yake itategemea hatua watakayochukua wapinzani kutokana na gia aliyobadili angani. Yes, yes kila wakati bila kupima na kuhoji mantiki yake huwa na madhara makubwa. Tuendelee kusubiri lakini wapinzani wasigeuke nyuma watakuwa jiwe la chumvi siyo lile.Hahahaaaaa......!
Umenikumbusha Mchungaji Erasto: Jaffo mnamuonea bure hana sifa ya Jaji
Maendeleo hayana vyama!