Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Dogo mmekosa sababu sasaPoor Jaffo , Tumekustukia !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo mmekosa sababu sasaPoor Jaffo , Tumekustukia !
Hakuna mpinzani wa kweli atakaye weza kushiriki huo uchaguzi wa udanganyifuWazungu wana msemo wao usemao "gabbage in gabbage out", ukipanda uvundo utavuna uvundo. Ni wazi serikali ya CCM na Watendaji Kata wake wameonesha nia ovu ya kuhakikisha Wapinzani hata kama watashinda, hawatapewa ushindi wowote.
Baada ya kubanwa, Waziri Mhusika ameamua kutengua maamuzi ya Wasimamizi wa uchaguzi yaliyoengua maelfu ya wagombea wa Upinzani na kuwataka waendelee na uchaguzi.
Lakini ikizingatiwa tayari wasimamizi wameonesha nia ovu (malice aforethought), tutarajie haki kutendeka kama hawa Wapinzani watarejea kwenye uchaguzi?
Mkuu tatizo serikali hawana nia ya dhati ya kuweka uwanja sawa kwenye chaguzi zake.Nafikiri Wapinzani wamepata pakuanzia. Wakicheza vizuri itawasaidia sana kwenye 2020.
Wanadhani wanawadanganya watoto wadogoHakuna kitu kama hicho,labda watoto wadogo wa chekechea ndio watakaohadahika .
Washalikologa bwembela wacha walinywe wenyewe.
Mtego wa panya, unawarudisha ili uwabane siku ya mwisho wakati wa kutangaza matokeo. Waziri Jafo anaugeuza uchaguzi kuwa wa hisani toka kwake na kauli za kibabe. Tukumbuke kuwa waziri wa Mambo ya Ndani kwenye kikao cha bunge alitoa maelekezo jeshi la polisi liwashughurikie waliojitoa! Hawa waziri aliwaita wanataka kusababisha uvunjifu wa amani.Wazungu wana msemo wao usemao "gabbage in gabbage out", ukipanda uvundo utavuna uvundo. Ni wazi serikali ya CCM na Watendaji Kata wake wameonesha nia ovu ya kuhakikisha Wapinzani hata kama watashinda, hawatapewa ushindi wowote.
Baada ya kubanwa, Waziri Mhusika ameamua kutengua maamuzi ya Wasimamizi wa uchaguzi yaliyoengua maelfu ya wagombea wa Upinzani na kuwataka waendelee na uchaguzi.
Lakini ikizingatiwa tayari wasimamizi wameonesha nia ovu (malice aforethought), tutarajie haki kutendeka kama hawa Wapinzani watarejea kwenye uchaguzi?
Jiwe anasubiri wakati muafaka ajichukulie umaarufu kwa Jafo
Wapinzani wepi unawazungumzia? Dovutwa and company mbona washatangaza kuwa watashiriki maana kwao ni fursa. Walisema "anayesusa kashiba." Wao wanayo njaa, watashiriki ili washibe.Wapinzani wakishiriki uchaguzi huu wa kihuni, sitapiga kura tena mpaka nitakaporejea mavumbini.
Wazungu wana msemo wao usemao "gabbage in gabbage out", ukipanda uvundo utavuna uvundo. Ni wazi serikali ya CCM na Watendaji Kata wake wameonesha nia ovu ya kuhakikisha Wapinzani hata kama watashinda, hawatapewa ushindi wowote.
Baada ya kubanwa, Waziri Mhusika ameamua kutengua maamuzi ya Wasimamizi wa uchaguzi yaliyoengua maelfu ya wagombea wa Upinzani na kuwataka waendelee na uchaguzi.
Lakini ikizingatiwa tayari wasimamizi wameonesha nia ovu (malice aforethought), tutarajie haki kutendeka kama hawa Wapinzani watarejea kwenye uchaguzi?
Jafo ametumika tu but hayo ni maagizo toka kwa mkulu
TAMISEMI anakwenda kupewa Nape siyo Mwigulu.Kesho jiwe atamfukuza Jafo na kumkabidhi mikoba Mwigulu Nchemba. Atatoa kauli za kupooza pooza makali ili kujaribu kuonyesha naye amekereka.
Wait and see
Kinachoelekea CCM wanataka kutumia mbinu nyingine nayo ni ya utangazaji wa matokeo ya uchaguzi.Sheria Na katiba zinavunjwa tuuu
Haya.Wagombea wa upinzani waliondolewa kwa kushindwa kukidhi sheria za uchaguzi huo! Sasa waziri aliyesema kwa msisitizo kuwa sheria za uchaguzi lazima zifuatwe, leo anawarudisha kwenye uchaguzi kwa lugha za mitaani za kejeri za kuweka mpira kwapani! Na lazima kieleweke kitu. Haya mamlaka ya kutengua sheria ambayo iliwaondoa wagombea ameyapata wapi? Tuelezwe kabla ya kuwarudisha kwenye uchaguzi.
Sawa serikali inayo kupitia bunge, naye Jafo anayo mamlaka hayo bila kupitia bunge?Haya.
Swali lisilo na kona wala milima mirefu, lakini kulijibu haiwezekani, kwa nini?
Kwa sababu serikali imejipa madaraka ya kutunga, kufuta na kutafsiri sheria yoyote kadri waonavyo wao inawapendeza. Hiyo ndio sababu..
Ni swali zuri sana na la kufikirisha.