Katiba ndivyo inasema?
Kwenye kampeni mnawaweka ndani..
 
Aangalie sana ,lisije likawa tamko litakalomtoa kafara kisiasa. Asome alama za nyakati

Tupo katika nyakati ambazo tu ataja Dunia ione tuna demorasia ya kweli yenye kujali misingi ya Haki na utawala Bora

Pia Tamko lake ni kama Kuna Taaharuki Nchini,jambo linaloweza kusababisha wawekezaji kutoka nje wakaona kama amani haipo

Kwahiyo ni kauli ambayo sio muda wake, anageta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…