Acha utopolo ndugu yangu, katumia mamlaka gani kuzuia haki za kikatiba? Si angetunga tu sheria humo humo bungeni kuzuia hiyo mikutano? Nchi haiongozwi na matamko ya Bungeni, bali kwa misingi ya katiba na sheria tulizojiwekea... Period.
 
Mikutano ya ndani sio mbaya.

Ila ndio isiwe kila siku sasa.

Tuachie watu muda wa kufanya mambo mengine.
 
Acha utopolo ndugu yangu, katumia mamlaka gani kuzuia haki za kikatiba? Si angetunga tu sheria humo humo bungeni kuzuia hiyo mikutano? Nchi haiongozwi na matamko ya Bungeni, bali kwa misingi ya katiba na sheria tulizojiwekea... Period.
Gentleman,
Tanzania tumejaaliwa very able and brilliant young leaders like waziri Patrobas Katambi.

Hakuna mbambamba katika kuchukua maamuzi magumu na hatua muafaka za makusudi kabisa kuhakikisha amani, utulivu na usalama wa waTanzania, kua ndio kipaumbele muhimu zaidi kuliko matusi, uchochezi na uropkaji ambao hauna faida kwa waTanzania.

For sure kama nchi,
inafaa kuungana na kumpongeza waziri Patrobas Katambi, kijana ambae ana uthubutu wa kipekee sana katika kuchukua hatua, za kuhakikisha, wanasiasa hawatumii majukwaa ya kisiasa kuvuruga amani na kuhatarisha usalama wa waTanzania.

Ni muhimu kujiepusha na hizo porojo na ngonjera nonsense gentleman πŸ’
 
Umoja na mshikamano Kwa watanzania Kwa kuzuia mikutano.
kwa kuwazuia vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kuvuruga amani na usalama wa waTanzania wanajishughulusha na shughuli zao kila siku, ni hatua muafaka na muhimu sana kwa ustawi wa umoja na utulivu wa taifa letu gentleman.

Tunafaa kumpongeza na kumuombea zaidi waziri Patrobas Katambi, ili hatimae aendelee kuthubutu kuchukua hatua muafaka zaidi kwa maslahi mapana ya amani ya taifa letu πŸ’
 
Mimi sielewi,hivi vyama vya siasa vinafanyaga siasa kwa ridhaa ya waziri wa mambo ya ndani?au kwa ridhaa ya IGP???
 
Hivi aisee una umri gani...kiasi kwamba hujui kuwa amani ya kwanza huwa inaondolewa na kuminya haki za watu....yaan mpaka sasa kama unaamini chama cha upinzani ndo kitaleta vurugu katka hii nchi basi umelala usingizi mzito...amka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…