Bila kuwaondoa Kikwete na sa100, nchi itazidi kuporomoka
 
Ningelikuwa dodoma leo hii,ningelimpatia waziri katambi bia mbili baridi kweli kweli....(Hatutaki CCM,wala chadema,wala chama chochote kile kufanya shughuli za kisiasa)
NI HATARI SANA KUIGA MFANO WA SIASA ZA KENYA SIASA MIAKA YOTE MINNE MPAKA KUANGUKIA UCHAGUZI,NO TUSIFANYE HIVI,
Tuwe na mpangilio wetu wa kisiasa,siasa za hadhara ziwe na vipindi vyake,mwaka mmoja kabla ya uchaguzi,baada uchaguzi kuisha!
HONGERA SANA...!
 
Bila kuwaondoa Kikwete na sa100, nchi itazidi kuporomoka

hata hao wakiondoka hakuna kitakachobadilika kwani wanatumika pia, sana sana irani atateua mwingine tu, lkn yanafikia ukingoni, irani hawezi kunyanyuka tena hivyo ni last days of the dying breed …
 
Naona tunafunga tena madirisha na milango na kuna watu wameshiba maharage.

Kwangu mimi, hizi siasa siku mbili tatu ziliwafanya watu watoe ya moyoni, hiyo ni tiba nzuri.
Sasa kuna sehemu watatafuta ya kuhemea, hope serikali ipo makini na udhibiti na elimu ili pasiwe na maelezo kuwa walishawishiwa na wanaharakati baada ya madhara makubwa.
 
Jana nilikuwa nawaza kitu kama hicho kwamba ni ujinga kuacha watu wanajazana kwenye mikutano ya siasa isiyo na tija badala ya kufanya kazi.

Muda wa maneno ulishaisha baada ya Uchaguzi,mbaya zaidi kina Heche wanatukana na kukashifu viongozi.

Worse enough wanahamasisha vurugu.

Iwe ni marufuku Kwa mikutano ya siasa Hadi 2030,Nchi zetu hazihitaji maneno zinahitaji kufanya kazi ndio maendeleo yatakuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…