Umoja na mshikamano Kwa watanzania Kwa kuzuia mikutano.
 
Sasa hiyo marufuku ikitekelezwa nyie Chawa mtakula wapi?..
 
Waziri amefanya vizuri mkafanye kazi
 
Kipindi chote mlikuwa mnazunguka Tanzania nzima pekeyenu kuanzia waziri mkuu,kihogosi Ali hapi na wasira haikuwa nongwa wala watu kuchapa kazi haikuwa neno lenu......wenye kibali cha MUNGU wamezunguka mikoa mitatu tayari CCM iko vipandevipande
 
na watu wanaonekana kuelewa sana
hili jambo viongozi wa kisiasa na serikali walitakiwa walielewe mapema sana.

sasa hivi UELEWA WA WANANCHI UMEONGEZEKA SANA nachelea kusema UJINGA UMEISHA KABISA.
Teknolojia na utandawazi ,shule za kata ,utandawazi umekuwa sana ,vijana wadogo tu wanaelewa sana mambo ya nchi na dunia yanavyokwenda.

Viongozi walitakiwa wawe makini sana unapo ongoza jamii yenye UELEWA MKUBWA,na TEKNOLOJIA NA UTANDAWAZI MKUBWA.

Haitakuwa rahisi KUWADANGANYA JAMBO kama SIASA ZA ZAMANI.

Kwa sasa teknolojia ,utandawazi vinakuumbua,
Huwezi kuwadanganya kwa kuwapa pikipiki,baiskeli,kofia ,kanga ,chakula au PESA.
Mbaya zaidi kilichoharibu zaidi ni masuala ya vyombo vya kulinda amani na usalma KUTUMIA NGUVU kupita kiasi dhidi ya raia wake wasio na hatia ikiwemo watoto wachanga na wanawake wajawazito,na masuala ya watu kutekana tekana
 
Wakapiga ban kipindi cha UCHAGUZI Wameshinda uchaguzi sasa na kupita wanafunga tena hakuna siasa baada ya kushindwa kukifungia chama cha CHADEMA kupitia yule pengo Nyahoza
 
Tatizo

Huyu aliwahi kuwa Mwenyekiti taifa BAVICHA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…