Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA Mkoani Rukwa

Ikidhibitika afisa elimu, mwalimu mkuu na chain nzuma fukuza wote
Kuanzia kwa DC ,wote wafukuzwe, DC alikua Mbunge wa Chadema,wa kati wa Jiwe , aliamua kuwatangaza wagombea wa ccm kwamba ndio walio shinda uchaguzi, akapoteza Ubunge, kwakua alikua tayar amemuoa binti yake Spika Ndugai,wakamshawishi ajiunge ccm, akateuliwa kuwa DC anaitwa Lijualikali
 
Mimi ni CCM damu Ila huu upumbavu uliofanyika naupinga Kwa nguvu zote,unamnyimaje mtoto elimu Kwa itikadi za kisiasa za wazazi?

Iko wapi demokrasia?

CCM ni chama kikubwa kinachojielewa,lakini kinaharibiwa na wapumbavu wachache
 
Ingawa stetei mahovu, ila hilli jambo naona linazidishiwa chumvi. Kwa taarifa niliyonayo kutoka source kamili ni kuwa siku ya uchaguzi huyu mkuu wa shule ya msingi alikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi, wakati wakiendelea na zoezi kuna wazazi wa hao watoto waliosimamishwa masomo walipishana kauli, huku wazazi hao (wapiga kura) wakiwatuhumu walimu kuwahujumu CHADEMA, ktk majizano hayo wazazi hao inasemekana waliendelea kuwadhihaki walimu hasa anakotoka huyo mkuu. Hapo ndo sekeseke lilipoanzia.
 
Awali, ikidaiwa kwamba Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha Izinga, AMEWAFUKUZA SHULE watoto ambao wazazi wao ni wanachama wa CHADEMA kwa madai kwamba ni maelekezo ya wizara ya Elimu yanayosimamiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Ndugu AMBROSE LIJUAKALI.
Huyo DC akapimwe mkojo pamoja na walimu wake
 
Ingawa stetei mahovu, ila hilli jambo naona linazidishiwa chumvi. Kwa taarifa niliyonayo kutoka source kamili ni kuwa siku ya uchaguzi huyu mkuu wa shule ya msingi alikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi, wakati wakiendelea na zoezi kuna wazazi wa hao watoto waliosimamishwa masomo walipishana kauli, huku wazazi hao (wapiga kura) wakiwatuhumu walimu kuwahujumu CHADEMA, ktk majizano hayo wazazi hao inasemekana waliendelea kuwadhihaki walimu hasa anakotoka huyo mkuu. Hapo ndo sekeseke lilipoanzia.
Kwani ni mara ya kwanza walimu kugombana. Kila Mwalimu akigombana mtaani, au kwenye uchaguzi, kwenye foleni, kwenye vikao vya harusi, hasira anaenda kufukuza watoto huo ni ukichaa, kukomoa, au siasa ?
 
Ingawa stetei mahovu, ila hilli jambo naona linazidishiwa chumvi. Kwa taarifa niliyonayo kutoka source kamili ni kuwa siku ya uchaguzi huyu mkuu wa shule ya msingi alikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi, wakati wakiendelea na zoezi kuna wazazi wa hao watoto waliosimamishwa masomo walipishana kauli, huku wazazi hao (wapiga kura) wakiwatuhumu walimu kuwahujumu CHADEMA, ktk majizano hayo wazazi hao inasemekana waliendelea kuwadhihaki walimu hasa anakotoka huyo mkuu. Hapo ndo sekeseke lilipoanzia.
Sasa mtoto anahukumiwaje kwa makosa ya mzazi? Hapo walimu wamekosea asilimia mia. Mzazi inabidi awajibike kwa makosa yake.
 
Ingawa stetei mahovu, ila hilli jambo naona linazidishiwa chumvi. Kwa taarifa niliyonayo kutoka source kamili ni kuwa siku ya uchaguzi huyu mkuu wa shule ya msingi alikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi, wakati wakiendelea na zoezi kuna wazazi wa hao watoto waliosimamishwa masomo walipishana kauli, huku wazazi hao (wapiga kura) wakiwatuhumu walimu kuwahujumu CHADEMA, ktk majizano hayo wazazi hao inasemekana waliendelea kuwadhihaki walimu hasa anakotoka huyo mkuu. Hapo ndo sekeseke lilipoanzia.
Kwahiyo hii sababu ya wazazi na mwalimu kutofautiana kauli ina justify kufukuza watoto shule?

Nimeumia sana mtoto kufukuzwa shule kisa siasa za kipumbavu. Ikithibitika ni kweli fukuza kuanzia aliyetoa amri haramu hadi aliyetekeleza amri hiyo haramu.
 
Na siyo kwamba wamefukuzwa, wamesimamishwa
 
Profesa Mkenda amesema anafuatilia watoto waliofukuzwa shule kisa uchadema wa wazazi wao. Kwa kuwa huyu mh ni profesa hatuna budi hili kuangaliwa katika professorial eyes.

Jana waziri mkuu mstaafu katika press yake ameongelea uchawa . Nami kwa kutumia professorial eye ya kuzaliwa hili nali link moja kwa moja na uchawa .

Kuna utamaduni unaozoeleka na jamii yetu ya kitanzania kwa kuyazoea haioni kuwa ni abnormal ila multiplier effects za uchawa ndo kama hili la mwalimu. Nchi ya Tanzania kwa sasa jamii yake ina abnormalities kwa kujua ama kutokujua kuwa root cause yake ni uchawa.

Pingeni ama mkubali , jigalagaze ama ufanye ufanyalo ila impact za uchawa nchini ni worse na sina uhakika kama tunaandaa smart citizens.

Nitatoa mifano ya uchawa nikianza na ya huyo mwalimu.

1. Ni wazi kuwa watumishi wa serikali kwa sasa wanayo tabia ya kutaka kuonyesha mamlaka huo uwepo wao likiwepo hilo la kufukuza wanachadema na mengine yanayofanana kama mapolisi kutumia njia tunazoziona, viongozi wenye nafasi kutoa matamko sifa hata zisipostahili ili waonekane kwa ajili ya uchawa wao badala ya weledi wao.

2. Bunge nalo tunalishuhudia likijigaragaza ili lipendwe likiwa msitari wa mbele kusifu na kuabudu bila kujali wajibu wao kama wawakilishi wetu sisi wananchi .

3. Vyombo vya habari apart from online media chache sana na hasa hapa ninapotolea maoni yangu . Binafsi kila siku huwa nachungulia headlines hasa kwenye millard uchawa ninaoukuta magazetini roho huwa inaumia ila sina la kufanya.

4. Ni rasmi uchawa sasa ni kazi jamii ya kitanzania ina machawa wabobezi na unfortunately wanatoboa kuliko hustler wanaochakalika kila siku kwani mambo yao hunyooka kirahisi.

5. Impact ya maumivu ya utekaji amini msiamini mojawapo ya sababu ni uchawa . Just imagine tumeshuhudia baadhi ya wafuasi wa chadema wakiwa attacked .nilikuta sehemu mtandaoni watu wakiwa na maswali kuwa hivi hawa maofisa wetu zile hasira wanazitoa wapi wanapomvamia someone anaeyofatiana na mchawa wao?

6. Si jambo geni kusikia jamii ikilalamika kuwa mahakama inayo tabia inapofanya maamuzi ku side upande wa mchawa mkuu wa Taifa.

Kama Taifa kwa mawazo yangu uchawa ni rasimi inatakiwa oamuliwe kuwa ni moja ya janga na adui namba moja kwa jamii yetu.

To make it short mifano niliyoitoa hapo juu imegusa organs zote zinazolifanya Taifa lolote ku piga hatua . Uchawa uko kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, mahakama , Bunge na ndani ya mchawa mwenywe.

Maprofesa huwa hawakurupuki hivyo namshauri profesa wetu Mkenda atumie taaluma yake kubaini tatizo maana kumrukia mwalimu aliyefukuza watoto wa chadema haitasaidia . Wanataaluma tuondoeni hapa tulipofikia maana tunatia aibu ila hatujijui kama jamii.uchawa umekuwa utamaduni na multiplier effects zake zitaathiri nyanja mbali mbali katika jamii yetu japo linatakiwa professorial eye kubaini .

Nashauri kama jamii tuutambue uchawa kama adui wa Taifa ili tupate kupona.
 
Uchawa usipodhibitiwa sasa hivi, utaleta mgawanyiko na mpasuko mkubwa kwenye jamii. Its seems that wanaofaidila na machawa ni wanasiasa but they dont care about long term effect
 
Kwenda choo tu pamoja na watoto wao ndio wanakosa mpaka Utu
Kweli mna maisha magumu sana
Mnatengeneza watu wa ajabu ambao hawataweza kufanya kitu bila kuabudu watu
 
Halafu mkiambiwa binadamu alikuwa sokwe mnakaza fuvu

Uumbaji wa Mwanadamu kutoka Udongo

Qur'an inataja kuwa binadamu aliumbwa kutoka ardhi au udongo:

Surah Al-Hijr (15:26):
"Na kwa yakini tuliwaumba wanadamu kutokana na udongo wa mfinyanzi uliotiwa umbo."

Surah As-Sajda (32:7-9):
"Yeye ndiye aliyeumba kila kitu kwa uzuri, na akaanza kumuumba mwanadamu kutoka udongo. Kisha akajaalia kizazi chake kutokana na tone la maji dhaifu. Kisha akamkamilisha, na akampulizia roho Yake, na akajaalia masikio, macho na nyoyo."

Pigo la Roho

Baada ya kutengenezwa kutoka udongo, Allah alimpulizia roho ya uhai ndani ya binadamu:

Surah Sad (38:71-72):
"(Kumbuka) Mola wako aliposema kwa malaika: ‘Mimi ninataka kumuumba binadamu kutokana na udongo. Nitamkamilisha na kumpulizia roho Yangu, basi muangukieni kumsujudia.’"
 
Profesa Mkenda amesema anafuatilia watoto waliofukuzwa shule kisa uchadema wa wazazi wao. Kwa kuwa huyu mh ni profesa hatuna budi hili kuangaliwa katika professorial eyes.

Jana waziri mkuu mstaafu katika press yake ameongelea uchawa . Nami kwa kutumia professorial eye ya kuzaliwa hili nali link moja kwa moja na uchawa .

Kuna utamaduni unaozoeleka na jamii yetu ya kitanzania kwa kuyazoea haioni kuwa ni abnormal ila multiplier effects za uchawa ndo kama hili la mwalimu. Nchi ya Tanzania kwa sasa jamii yake ina abnormalities kwa kujua ama kutokujua kuwa root cause yake ni uchawa.

Pingeni ama mkubali , jigalagaze ama ufanye ufanyalo ila impact za uchawa nchini ni worse na sina uhakika kama tunaandaa smart citizens.

Nitatoa mifano ya uchawa nikianza na ya huyo mwalimu.

1. Ni wazi kuwa watumishi wa serikali kwa sasa wanayo tabia ya kutaka kuonyesha mamlaka huo uwepo wao likiwepo hilo la kufukuza wanachadema na mengine yanayofanana kama mapolisi kutumia njia tunazoziona, viongozi wenye nafasi kutoa matamko sifa hata zisipostahili ili waonekane kwa ajili ya uchawa wao badala ya weledi wao.

2. Bunge nalo tunalishuhudia likijigaragaza ili lipendwe likiwa msitari wa mbele kusifu na kuabudu bila kujali wajibu wao kama wawakilishi wetu sisi wananchi .

3. Vyombo vya habari apart from online media chache sana na hasa hapa ninapotolea maoni yangu . Binafsi kila siku huwa nachungulia headlines hasa kwenye millard uchawa ninaoukuta magazetini roho huwa inaumia ila sina la kufanya.

4. Ni rasmi uchawa sasa ni kazi jamii ya kitanzania ina machawa wabobezi na unfortunately wanatoboa kuliko hustler wanaochakalika kila siku kwani mambo yao hunyooka kirahisi.

5. Impact ya maumivu ya utekaji amini msiamini mojawapo ya sababu ni uchawa . Just imagine tumeshuhudia baadhi ya wafuasi wa chadema wakiwa attacked .nilikuta sehemu mtandaoni watu wakiwa na maswali kuwa hivi hawa maofisa wetu zile hasira wanazitoa wapi wanapomvamia someone anaeyofatiana na mchawa wao?

6. Si jambo geni kusikia jamii ikilalamika kuwa mahakama inayo tabia inapofanya maamuzi ku side upande wa mchawa mkuu wa Taifa.

Kama Taifa kwa mawazo yangu uchawa ni rasimi inatakiwa oamuliwe kuwa ni moja ya janga na adui namba moja kwa jamii yetu.

To make it short mifano niliyoitoa hapo juu imegusa organs zote zinazolifanya Taifa lolote ku piga hatua . Uchawa uko kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, mahakama , Bunge na ndani ya mchawa mwenywe.

Maprofesa huwa hawakurupuki hivyo namshauri profesa wetu Mkenda atumie taaluma yake kubaini tatizo maana kumrukia mwalimu aliyefukuza watoto wa chadema haitasaidia . Wanataaluma tuondoeni hapa tulipofikia maana tunatia aibu ila hatujijui kama jamii.uchawa umekuwa utamaduni na multiplier effects zake zitaathiri nyanja mbali mbali katika jamii yetu japo linatakiwa professorial eye kubaini .

Nashauri kama jamii tuutambue uchawa kama adui wa Taifa ili tupate kupona.
Haya ni matunda ya Rais tuliye naye ...sikuzote kiongozi mpumbavu uchagua wapumbavu wenzie kumshauri na kuongoza nao ...hivyo mambo ya kipumbavu kutamalaki nchini.
 
Mkenda akiwarudisha hao watoto shule atafukuzwa ccm , CCM hii ndivyo inavyotaka nchi hii iendeshwe.

Ukimsikiliza Kikwete kwenye maziko ya Ndugulile utaelewa jambo, Alipowatambulisha aliowaita wapinzani akajitetea kwamba , "Siku hizi katika ccm ukiwatambulisha wapinzani unaonekana Mbaya" Huyu alikuwa Rais na Mwenyekiti wa ccm lakini amejaa hofu
 
Rostam azizi na ukoo wake ni watu hatari sana kama JWTZ wasipo wamaliza tutabaki midomo wazi.
 
Profesa Mkenda amesema anafuatilia watoto waliofukuzwa shule kisa uchadema wa wazazi wao. Kwa kuwa huyu mh ni profesa hatuna budi hili kuangaliwa katika professorial eyes.

Jana waziri mkuu mstaafu katika press yake ameongelea uchawa . Nami kwa kutumia professorial eye ya kuzaliwa hili nali link moja kwa moja na uchawa .

Kuna utamaduni unaozoeleka na jamii yetu ya kitanzania kwa kuyazoea haioni kuwa ni abnormal ila multiplier effects za uchawa ndo kama hili la mwalimu. Nchi ya Tanzania kwa sasa jamii yake ina abnormalities kwa kujua ama kutokujua kuwa root cause yake ni uchawa.

Pingeni ama mkubali , jigalagaze ama ufanye ufanyalo ila impact za uchawa nchini ni worse na sina uhakika kama tunaandaa smart citizens.

Nitatoa mifano ya uchawa nikianza na ya huyo mwalimu.

1. Ni wazi kuwa watumishi wa serikali kwa sasa wanayo tabia ya kutaka kuonyesha mamlaka huo uwepo wao likiwepo hilo la kufukuza wanachadema na mengine yanayofanana kama mapolisi kutumia njia tunazoziona, viongozi wenye nafasi kutoa matamko sifa hata zisipostahili ili waonekane kwa ajili ya uchawa wao badala ya weledi wao.

2. Bunge nalo tunalishuhudia likijigaragaza ili lipendwe likiwa msitari wa mbele kusifu na kuabudu bila kujali wajibu wao kama wawakilishi wetu sisi wananchi .

3. Vyombo vya habari apart from online media chache sana na hasa hapa ninapotolea maoni yangu . Binafsi kila siku huwa nachungulia headlines hasa kwenye millard uchawa ninaoukuta magazetini roho huwa inaumia ila sina la kufanya.

4. Ni rasmi uchawa sasa ni kazi jamii ya kitanzania ina machawa wabobezi na unfortunately wanatoboa kuliko hustler wanaochakalika kila siku kwani mambo yao hunyooka kirahisi.

5. Impact ya maumivu ya utekaji amini msiamini mojawapo ya sababu ni uchawa . Just imagine tumeshuhudia baadhi ya wafuasi wa chadema wakiwa attacked .nilikuta sehemu mtandaoni watu wakiwa na maswali kuwa hivi hawa maofisa wetu zile hasira wanazitoa wapi wanapomvamia someone anaeyofatiana na mchawa wao?

6. Si jambo geni kusikia jamii ikilalamika kuwa mahakama inayo tabia inapofanya maamuzi ku side upande wa mchawa mkuu wa Taifa.

Kama Taifa kwa mawazo yangu uchawa ni rasimi inatakiwa oamuliwe kuwa ni moja ya janga na adui namba moja kwa jamii yetu.

To make it short mifano niliyoitoa hapo juu imegusa organs zote zinazolifanya Taifa lolote ku piga hatua . Uchawa uko kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, mahakama , Bunge na ndani ya mchawa mwenywe.

Maprofesa huwa hawakurupuki hivyo namshauri profesa wetu Mkenda atumie taaluma yake kubaini tatizo maana kumrukia mwalimu aliyefukuza watoto wa chadema haitasaidia . Wanataaluma tuondoeni hapa tulipofikia maana tunatia aibu ila hatujijui kama jamii.uchawa umekuwa utamaduni na multiplier effects zake zitaathiri nyanja mbali mbali katika jamii yetu japo linatakiwa professorial eye kubaini .

Nashauri kama jamii tuutambue uchawa kama adui wa Taifa ili tupate kupona.
Kumrukia mwalimu ni sawa na halali kwa sababu nafasi yeyote ya utumishi ina miongozo yake ambayo ndiyo alipaswa kuifuata.

Kama huyo mwalimu ameamua kufuata uchawa basi waziri akimshukia ni halali yake.

Nb: Iko siku baadhi ya machawa wataliwa kiboga sio kwa sababu ni mashoga ila ni kwa sababu hawataki kutumia ubongo, hivyo hao mabwana zao wakiwaambia watoe mzigo hata kama ni bikra watatoa. tu.
 
Back
Top Bottom