Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Vyovyote iwavyo sio sahihi.Na siyo kwamba wamefukuzwa, wamesimamishwa
Mtifuano wa watu wazima unamhusishaje mtoto asiye na hatia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyovyote iwavyo sio sahihi.Na siyo kwamba wamefukuzwa, wamesimamishwa
Na wewe ni mjinga mwenzao una akili za CCM sasa hapo watoto wanahusikaje?Ingawa stetei mahovu, ila hilli jambo naona linazidishiwa chumvi. Kwa taarifa niliyonayo kutoka source kamili ni kuwa siku ya uchaguzi huyu mkuu wa shule ya msingi alikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi, wakati wakiendelea na zoezi kuna wazazi wa hao watoto waliosimamishwa masomo walipishana kauli, huku wazazi hao (wapiga kura) wakiwatuhumu walimu kuwahujumu CHADEMA, ktk majizano hayo wazazi hao inasemekana waliendelea kuwadhihaki walimu hasa anakotoka huyo mkuu. Hapo ndo sekeseke lilipoanzia.
Na wewe ni njinga mIngawa stetei mahovu, ila hilli jambo naona linazidishiwa chumvi. Kwa taarifa niliyonayo kutoka source kamili ni kuwa siku ya uchaguzi huyu mkuu wa shule ya msingi alikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi, wakati wakiendelea na zoezi kuna wazazi wa hao watoto waliosimamishwa masomo walipishana kauli, huku wazazi hao (wapiga kura) wakiwatuhumu walimu kuwahujumu CHADEMA, ktk majizano hayo wazazi hao inasemekana waliendelea kuwadhihaki walimu hasa anakotoka huyo mkuu. Hapo ndo sekeseke lilipoanzia.
Wamesimamishwa kwa kosa gani?Na siyo kwamba wamefukuzwa, wamesimamishwa
Watoto kutoka familiya mbiliView attachment 3169536
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema wizara imetuma wathibiti ubora wa shule katika shule ya Msingi Izinga iliyo Nkasi kufuatilia taarifa zinazosambaa kwamba walimu wamefukuza wanafunzi ambao wazazi wao ni wanachama cha CHADEMA.
Prof. Mkenda amesisitiza kuwa vyama vipo kwa mujibu wa sheri na shule zinaongozwa kwa mujibu wa Sheria, Kanuni, Taratibu hivyo hakuna muongozo unaosema mwanafunzi atengwe kwa mlengo wa kisiasa.
ILIKUWA HIVI
Copy and paste
WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WAFUKUZWA SHULE
Mwalimu Mkuu( REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba 0755075299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha Izinga AMEWAFUKUZA SHULE watoto ambao wazazi wao ni wanachama wa CHADEMA kwa madai kwamba ni maelekezo ya wizara ya Elimu yanayosimamiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Ndugu AMBROSE LIJUAKALI. wafuatao ni orodha ya baadhi ya watoto waliofukuzwa
(1) MATHIAS SWEETBERT KABEZYA -STD III
(2) ANAKREDA SWEETBET KABEZYA -STD I
(3) GRACE BONIFACE KABEZYA -STD VI
(4)ANTONIA BONIFACE KABEZYA -STD IV
(5) VENUS BONIFACE KABEZYA -STD II
(6) CLEOPHACE ADABETH KABEZYA -STD IV
(7) LILIAN SWEETBETH KASWANYA -STD V
(8) ROSEMARY SWEETBETH KASWANYA- STD III
(9) JOSEPH SWEETBETH KASWANYA- STD II
TUNALAANI KITENDO HIKI NA TUNAITAKA WIZARA YA ELIMU IJITOKEZE KUKEMEA JAMBO HILI NA KUMCHUKULIQ MWALIMU HUYO HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA MAADILI YA UALIMU
Na wewe ni njinga m
Wamesimamishwa kwa kosa gani
Umeona ukinitukana ndo nafsi yako itatulia siyo. Nahisi wewe bado ni mtoto, nimekusamehe ila usirudie, jarbu kukua kiakiliNa wewe ni njinga m
Wamesimamishwa kwa kosa gani?
Umeona ukinitukana ndo nafsi yako itatulia siyo. Nahisi wewe bado ni mtoto, nimekusamehe ila usirudie, jarbu kukua kiakiliNa wewe ni mjinga mwenzao una akili za CCM sasa hapo watoto wanahusikaje?
Hapa ulichangia vizuri, sjui umeshikwa na shetani gani hadi baadae ukinitukana. Ila nimekujibi. Na nikwsmbie tu mimi siyo mwanasiasa, Wala sina chama chochote, na sjawahi kuwa mwanachama na sitakuwa mwanachama wa chama chochote. Zaidi, sijawahi kujiandikisha kupiga kura wala sijawahi kupiga kura na haitotokea kwenda kupiga kura. Ila kadi ya mpiga kura ninayo for personal purposes. Mimekuambia haya yote publicly ili ujaribu kuwa mstaarab ku-argue na mtu hasa usiye mfahamu.Vyovyote iwavyo sio sahihi.
Mtifuano wa watu wazima unamhusishaje mtoto asiye na hatia?
Aende wapi mkuu she is here to stay
Sasa watoto nao waliingiaje kwenye hilo sekeseke!?Ingawa stetei mahovu, ila hilli jambo naona linazidishiwa chumvi. Kwa taarifa niliyonayo kutoka source kamili ni kuwa siku ya uchaguzi huyu mkuu wa shule ya msingi alikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi, wakati wakiendelea na zoezi kuna wazazi wa hao watoto waliosimamishwa masomo walipishana kauli, huku wazazi hao (wapiga kura) wakiwatuhumu walimu kuwahujumu CHADEMA, ktk majizano hayo wazazi hao inasemekana waliendelea kuwadhihaki walimu hasa anakotoka huyo mkuu. Hapo ndo sekeseke lilipoanzia.
mimi siyo mtoto kama unavyofikiri na kusimamia haki hakuitaji umri,angalia leo hii watu wanatekwa wanauwawa mnaiba kura halafu mnakuja na drama za kuwafukuza shule watoto wadogo halafu unajifanya wamesimamishwa, kwa kosa lipi?naona mmejipa haki miliki ya kutawala milele sababu tu mnahaki ya kuuwa watu ngoja siku isiyokuwa na jina inakujaUmeona ukinitukana ndo nafsi yako itatulia siyo. Nahisi wewe bado ni mtoto, nimekusamehe ila usirudie, jarbu kukua kiakili
Kwani wewe mtoto mdogo? Mkenda anafanya maigizo.Huyo mwalimu mkuu anapaswa kufukuzwa kazi. Na kama yalikuwa na maagizo ya mkuu wa wilaya naye pia anapaswa kufukuzwa kazi.
Lakini kwa serikali hii ya huyu mama yenu, Mkenda ndiye anaweza kujikuta matatani huku hao wavunja sheria wakipewa promosheni.
Ishie kuwafukuza tu bali huyo mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi wa wilaya, Afisa elimu wa wilaya, Mratiba kata na Mwalimu mkuu wafukuzwe kazi mara moja, na kisha kufunguliwa mashtaka ya kutumia madaraka yao kutekeleza uovu dhidi ya ubinadamu.Ikidhibitika afisa elimu, mwalimu mkuu na chain nzuma fukuza wote
Afukuzwe kwa kufanya maigizo? Ebu kuwa serious kidogo.Mkenda atafukuzwa ccm
Salaam Wakuu,
Awali, ikidaiwa kwamba Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha Izinga, AMEWAFUKUZA SHULE watoto ambao wazazi wao ni wanachama wa CHADEMA kwa madai kwamba ni maelekezo ya wizara ya Elimu yanayosimamiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Ndugu AMBROSE LIJUAKALI.
Soma: DOKEZO - √ - Siasa Zetu: Watoto wa wanachama wa CHADEMA wasimamishwa Shule Nkasi kwa maelekezo ya Mkuu wa Wilaya na amri ya mwalimu Mkuu
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda, alipoulizwa na JamiiForums, amesema ameshaona taarifa hii na kuchukua hatua. Kaagiza wadhibiti ubora kwenda kwenye Shule hii kufuatilia jambo hili.
Amesema Wizara inafuatilia kujua ukweli wa taarifa hizi. Haiwezekani Mwalimu ajitungie sheria zake Mwenyewe. Hakuna ubaguzi wowote kwa mtoto wa Mtanzania. Kila mtoto anatakiwa kusoma na Serikali inajenga Shule nyingi sana.
"Kama ni kweli hii taarifa itakuwa ni jambo la ajabu na kusikitisha sana". Amesema Waziri Mienda