Agreement na Mkataba, tofauti ni nini? Soma wewe huko google utuambie, mimi nimesoma sijaona tofauti, maana zote zinasainiwa na ni legally binding kinyume na ukivyodanganya, kwa agreement si legally binding
We si umekopi na kupaste toka Google ukaweka hapa agreement ni nini,fanya hivyo Tena kwa 'difference between agreement and contract'..rahisi tu,kelele za nini!?
 
Acha ujinga. IGA ndio mkataba mama ndio maana unaitaji kupitishwa nabunge. Hiyo mikataba mingine midogodogo mnaweza mkasaiana hata chooni, hiyo inaitwa ukiishakubali kuolewa hakuna kulala na pichu
IGA ungekua mkataba mama kwa nini ikipita miezi 12 bila contract kuingia IGA inakufa!?
 
IGA ungekua mkataba mama kwa nini ikipita miezi 12 bila contract kuingia IGA inakufa!?
Weka hicho kiengele kinachosema hivyo. Bro usiingizwe mjini kichwakichwa. Ule uliopitishwa na bunge ni kama cheti cha ndoa. Sasa ukipata mwanaume anayejua kuoa tu hajui kuacha. Unalo, hapo lazima jasho likutoke
 
Weka hicho kiengele kinachsema hivyo. Bro usiingizwe mjini kichwakichwa. Ule uliopitishwa na bunge ni kama cheti cha ndoa. Sasa ukipata mwanaume anayejua kuoa tu hajui kuacha. Unalo hapo lazima jasho likutoke
Kajadili na wajinga wenzio
 
Hamna hata mmoja ambae ametolea maelezo vifungu vyenye utata. Wao sanasana wanazungumzia kuongezeka kwa ufanisi, ajira zitakazoongezeka na pesa tutakazopata.

Watu hawapingi mambo hayo. Watu wanachopinga ni kile kinachoonekana kama tunapoteza sovereignty yetu katika masuala ya bandari, transport corridors na EPZ.

Amandla...
 
 
Hizi zako ni hoja za mtu ambaye pengine hajawahi hata kutumia bandari maskini ya Mungu, hana bidhaa inayokwama katika kuitoa au kuipakia pale bandarini.

Ni hoja za mtu kakaa kwenye kiti chake

Ni mkataba unaodumu miaka na miaka
VijiSkripr hivi. Mwenyewe umeletwa humu kuja kujaribu kufunika ukweli.

Bandari imegawiwa. Rushwa zimetamalaki nq kuna hatari ya Ukoloni mamboleo kudumishwa Tanzania.
 
VijiSkripr hivi. Mwenyewe umeletwa humu kuja kujaribu kufunika ukweli.

Bandari imegawiwa. Rushwa zimetamalaki nq kuna hatari ya Ukoloni mamboleo kudumishwa Tanzania.
DP World ni muwekezaji makini mwenye uzoefu wa kutosha kwenye masuala ya shipping business.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…