and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Kwa sababu wanafahamu fika huu mkataba ni wa kinyonyaji.Hivi kwanini wanajitoa ufahamu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu wanafahamu fika huu mkataba ni wa kinyonyaji.Hivi kwanini wanajitoa ufahamu??
Kwanini hujaandamana?Hakuna mtanzania anayepinga uwekezaji ktk bandari. Tunachopinga ni kuingia mikataba ya kisenge. Ningekuwepo nchini tz wakati wa hayo maandamano, ningeshiriki
Mkuu naona umeishiwa hoja, hivyo tusichodhane yakitokea yatakayotokea, athari tutapata soteKwanini hujaandamana?
Kwani kuna shida yeyote?Makubaliano kuhusu ushirikiano kuhusu masuala ya bandari. Haya yamepelekwa bungeni na kuwa sheria. Hiyo kwako ia sound vipi?
Akielezea suala linaloendelea kuhusu mkataba wa DP-World na Tanzania ametoa sababu kuwa ni utendaji kazi mdogo wa TICTS ambao umesababisha meli nyingi ziwe zinashushia mizigo Lamu, Mombasa au Afrika kusini hali ambayo imepunguza wateja wa Bandari ya Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa amesema utendaji mbovu wa bandari unasababisha meli zitumie muda mwingi bandarini ambapo gharama ya meli kubaki bandarini huingia mfanya biashara hivyo bidhaa kuwa ghali mtaani. Amesema kwa sasa meli hutumia hadi siku saba kwa mzigo kupakuliwa.
Aidha, amesema awali TPA ilitambua utendaji mbovu na kumpa TICTS mkataba kwa miaka 20 lakini hakukuwa na utendaji mzuri ambapo mkataba huo uliisha 2017 na baadae aliomba kuongezewa miaka mitano ambayo imeisha 2022 na bado hakuweza kuleta vifaa vipya vya kuhudumia bandari.
Waziri Mkuu ameonesha suala la mkataba wa DP-World litarahisisha upakuaji wa mizigo.
Watanzania wametaka maelezo baada ya kuwa na utata katika baadhi ya vipengele vya mkataba huo ambao kwa kiasi kikubwa serikali na spika wa bunge wamekuwa wakivitolea maelezo.
Mazuzu yanashangilia eti anaupiga mwingi huku akiwaibia wanyongeWatanzania tukilalamika kuwa hili dili la mkataba wa bandari lina kila aina ya ukakasi muelewe.
Taarifa za uhakika na za kweli kabisa ni kuwa kampuni ya DP World tayari ipo bandarini, kitengo cha makontena na wanafanya kazi kwa siku nyingi tu kabla hata ya Mkataba wa Msingi haujapelekwa bungeni.
Mfumo wanaotumia ni single window service na sherehe za uzinduzi wa shughuli zao haps nchini ilifanyika Hyatt Hotel(Kilimanjaro hotel ya zamani) miezi kadhaa iliyopita.
Maswali tunayoiuliza serikali ni haya yafuatayo:
1. Mosi kwa nini serikali mpaka leo imetuficha kuwa kampuni ya DP world tayari imeshaanza kazi hapo bandari ya Dar es salaam kabla ya hiyo mikataba ya HGA haijasainiwa?
2. Au je tayari mikataba ya HGA imeshasainiwa kimyakimya ila haijatueleza au inatudanganya?
3. Je hao DP World watafanya kazi hapo kitengo cha makontena kwa miaka mingapi?
Inaelekea serikali inapata kigugumizi kushughulikia mkataba huu wa KUUZA NCHI kwa sababu tayari DP World tayari wameshaestablish fact on the ground.
Serikali ilete majibu.
MapoyoyoHii serikali ni ongo
Kassim Majaliwa ni muongo
Spika ni Muongo
Na Samia ndiye kubwa la waongo
Mnatuambia kuwa tusubiri mikataba ya HGA wakati mwarabu tayari yuko bandarini anafanya kazi?
Hivi nyie mnatuchukuliaje?
Kakuzidi kuona mbali, sauti toka nyikani.😂😂😂
Nabii Yona Ndugai