PM AMECHOKWA

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hivi Katibu Mtendaji si ndio alitakiwa kuliongelea hili na Sio Katibu Mwenezi na itikadi.
 
Mkuu hawa watajuana wenyewe huko , achana nao
 
Hiki Chama kina mbili nyingi sana za kuwadanganya wapiga kura wasiojielewa na hii ni moja wapo
PM na jamaa wanacheka tu pamoja
Wanaona kura zote kwao
 

Wafu wazikane wenyewe
 
Hiki Chama kina mbili nyingi sana za kuwadanganya wapiga kura wasiojielewa na hii ni moja wapo
PM na jamaa wanacheka tu pamoja
Wanaona kura zote kwao

Shida Viongozi wetu hawajitambui. Wao wanawaza madaraka. Waziri Mkuu ni mtu mkubwa kuanza kupewa miongozo na mtu mdogo inafedhehesha sana
 
Chama ndo kimemwagiza , Makondani msemaji tu, acheni upotoshaji
Chadema mnapoteza focus haraka Sana
 
Mbona mapema sana kuanza kupaniki.kwa Makonda lazima mtapike damu .akiongea tu lazima kamati kuu nzima ya CHADEMA ipoteane.makonda mmoja ni sawa na CHADEMA nzima na vyama vyote vya upinzani hapa nchini na bado hamumuwezi.

Punguza upumbavu wako. Makonda kamkorimea Waziri Mkuu inahusikaje na CHADEMA?. Makonda kuwaita wajumbe wa halmashauri kuu kuwa ni chura kunahusikaje na CHADEMA. Au Makonda kuwaambia waliostaadu walee wajukuu Kuna uhusiano gani na CHADEMA.

Akili zako ni zero Kama za Makonda.
 
Chama ndo kimemwagiza , Makondani msemaji tu, acheni upotoshaji
Chadema mnapoteza focus haraka Sana

Kwa hivyo mwenyekiti wa chama ambaye ndio Rais hawezi kuongea na Waziri Mkuu au kumwita Ikulu mpaka aagize watu mitaani waropoke?. Kweli haya ni mageni.
 
Machadema yote kwa sasa yamegeuka na kuwa maafisa habari wa Makonda ,yamesahau habari zao na kugeukia habari za Makonda kuripoti kila tukio na kila anachozungumza makonda.kweli CHADEMA ni manyumbu.

Nyumbu mwenyewe. Nenda kamsome mtu anaitwa Peter Kalihose alikuwa na akili Kama za kwako lakini mwisho wake ulikuwaje.
 
Shida Viongozi wetu hawajitambui. Wao wanawaza madaraka. Waziri Mkuu ni mtu mkubwa kuanza kupewa miongozo na mtu mdogo inafedhehesha sana
Aliempa kazi ndio anajua kinachoendelea
Siasa za nchi masikini hazitabiriki kabisa
Kweli leo PM na cheo hicho amekaa kimya tu

Kuna wakati huku kwa wenzetu aliekuwa waziri mkuu David Cameron alialikwa mahali
Sasa ukuherere wa Boris akiwa Mayor wa jiji akawavuta waandishi akawa anaongea nao live huku PM akiwa hapo

David alimpiga kidogo kwenye bega na wasomi wa mambo ya sign language waliona maana palepale Boris aliunywea kama mtoto kakanywa

Huyo ana Baraka zote kwa mama maana haiwezekani kila siku tamko na haambiwi kitu
 

Unaumwa sio Bure. Hata unachokiandika hukijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…