Waziri Mkuu, Majaliwa amuwakilisha Rais Samia kumjulia hali Lowassa

Tuboreshe kwanza hizi hizi zilizopo kama tunaweza !
 
Tabaka la watu wa aina hiyo ndilo linalotamba enzi hizi

Imekuwa ni sifa kubwa kujitoa akili na kujifanya kama li'robot' hivi lililo'programiwa', tena bila aibu!.
Duh ! 😳😀
 
Baba alikua waziri mkuu first born ni mbunge, hao ndo wamenjoy matunda ya nchi hi, sisi wengine tunaishi tu ili mradi.
"CCM bado haijapata chama mbadala cha siasa cha kuitoa madarakani" Alisikika mlevi moja kutoka Lumumba. Huku familia zingine zikilamba asali toka enzi za mababu zao. britanicca
 
Chadema onesheni ukomavu wa kisiasa nendeni kwa wingi kumjulia hali aliyewahi kuwa mgombea wenu wa Urais.
 
Mbona wanafamilia kama wana nyuso zilizokosa tumaini!!

Mungu amjaalie afya njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…