Sijawahi kuona ndio nasikia kwako, nnaowafahamu wote sio watoto wa mama namaanisha wavivu wengi wao wapo kwenye makampuni, wamefungua vijiwe vya kazi au wamejiunga kwenye vikundi vya ufundi na wanatafuta lidhiki kutokana na ujuzi wao.Kuna vijana kibao wiliomaliza veta hawana kazi na hao serikali inawasaidiaje
Penye Ukweli huwa tunaunga mkono na penye mauzauza huwa tunapinga na kupaza sauti zetu hata behind fake πͺͺ idβs. π³ !wavivu daima hawapendi kuskia ukweli kama alioutoa kiongozi huyu wa Kitaifa.
my friends, ladies and gentlemen,
bila kua na ujuzi utakua mnyonge wa kiuchumi mwenye mihemko maisha yako yote,
nenda kachote ujuzi veta na uje shambani kwenye kilimo na ufugaji biashara kuinjoy utajiri wa Taifa letu π
Na nawajua hawana kazi na wengine kazi wanayofanya ni tofauti na walichosomea VETASijawahi kuona ndio nasikia kwako, nnaowafahamu wote sio watoto wa mama namaanisha wavivu wengi wao wapo kwenye makampuni, wamefungua vijiwe vya kazi au wamejiunga kwenye vikundi vya ufundi na wanatafuta lidhiki kutokana na ujuzi wao.
Kachanganyikiwa
Tanzania kungekua na fursa is ingenuity nchi maskingWatanzania wengi ni wavivu sana,ukiangalia nchi yetu ina fursa nyingi sana but watu wanahitimu na kukaa tu kaungalia TV.
Tena ni waziri wa afya, ila Rais Samia ktk kuboronga kwenye uteuzi, basi ni kwa Jenista kwenda kwenye Afya.Kama Jenista Muhagama ni waziri kwanini Majaliwa hasiwe waziri mkuu.
Shida ni za wananchi siyo wateuaji
sasa mtu anapata mihemko na makasiriko kwenye kuambiwa ukweli kama huo alioutoa kiongozi huyo wa Kitaifa kwenye mawaidha yake mujarabu kwa graduates wanaozurura tu mijini kutafuta ajira tangu 2015?Penye Ukweli huwa tunaunga mkono na penye mauzauza huwa tunapinga na kupaza sauti zetu hata behind fake πͺͺ idβs. π³ !
Sasa kuna maana gani ya kwenda VETA? ikiwa hao fresh graduate wa VETA wana struggle ktk kupata ajira, au kutafuta ridhiki zao kupitia huo ujuzi waliopata huko?Mtu anatakiwa atumie maarifa yake kupata kazi/ shughuli kutokana na ujuzi alioupata.hakuna serikali inaweza kutoa ajira kwa kila anayehitimu chuo.
wavivu daima hawapendi kuskia ukweli kama alioutoa kiongozi huyu wa Kitaifa.
my friends, ladies and gentlemen,
bila kua na ujuzi utakua mnyonge wa kiuchumi mwenye mihemko maisha yako yote,
nenda kachote ujuzi veta na uje shambani kwenye kilimo na ufugaji biashara kuinjoy utajiri wa Taifa letu π
Hao unawafahamu wee, vipi na sisi tunao wafahamu wanao hustle kitaa buree tyuuh. LolSijawahi kuona ndio nasikia kwako, nnaowafahamu wote sio watoto wa mama namaanisha wavivu wengi wao wapo kwenye makampuni, wamefungua vijiwe vya kazi au wamejiunga kwenye vikundi vya ufundi na wanatafuta lidhiki kutokana na ujuzi wao.
Inafikirisha sanaSasa kuna maana gani ya kwenda VETA? ikiwa hao fresh graduate wa VETA wana struggle ktk kupata ajira, au kutafuta ridhiki zao kupitia huo ujuzi waliopata huko?
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
utajiri wa tunu za Taifa tulizojaaliwa na Mungu kama vile ardhi yenye rutuba kwaajili ya kilimo, mito, maziwa kwajili ya kilimo cha umwagiliaji na bahari kwajili ya uvuvi na kilimo cha mwani πView attachment 3270645
Utajiri upi?
Lecture vs Lecturer πmimi nikiwa nafundisha chuo kikuu fulani humu nchini kama part-time lecture, nilijiunga veta kujifunza welding,
baada ya kupata ujuzi,
vitanda vyote katika vyumba vya kulala nyumbani kwangu nimetengeneza mwenyewe kwa ujuzi niliopata veta, hata madirisha katika mabanda ya mifugo yangu nimetengeneza mwenyewe,
hakuna fundi mchomeleaji wa kunitapeli eneo hilo π