Waziri Mkuu wa Israel agundulika na Kansa ya tezi dume stage 3 baada ya kufanyiwa uchunguzi

Waziri Mkuu wa Israel agundulika na Kansa ya tezi dume stage 3 baada ya kufanyiwa uchunguzi

Vyombo vya habari vya kimataifa vimeripoti kutoka katika timu ya madaktari nchini Israel kuwa waziri mkuu Benyamin Netanyahu hii Leo amegundulika kuwa na Kansa ya tezi dume stage 3 ambapo imeelezwa kuwa ataanza matibabu mara 1.
Screenshot_20241229-185709.png
 
Angekuwa Ayatullah ndo ame gundulika na huo ugonjwa sasa hivi warokole wa kawe wangekuwa wamo humu wakiisifu mosad kwa kufanya kazi.
hayo ni maradhi ya kawaida kwa umri wa wanaume kama netanyahu. Ila operation za kunyuka magaidi zipo palepale, mission za waisrael kujilinda ziko palepale hata bila netanyahu
 
Tezi dume ni ugonjwa wa kurithi, ukigundua dalili kwa age below 45,40 utapata dawa ya kizuia isiongezeke, ingawa sasa hospital kubwa kama Ikonda (makete)Muhimbili,Benjamin, Rufaa Mbeya nk zina matibabu ya kisasa bila operation na unapona kabisa.
 
Yalikuwa yanakata mauno balaa hadharani siku hiyo huku yakibweka na sauti za juu Allah akbar Allah akbar. Sasa hivi hata kusema tu hivyo yanashindwa na wale wanaoweza wamebaki yakibweka kwa kujilazimisha Allah Akbar huku yamebanamikundu yao kwa uchungu mkali.
Maamaee myahudi
Yaarab toba
Astaghfullah sheikh Malaria 2
 
Kwani huo uchunguzi umefanywa na kuripotiwa na Iran? Unaweza kuona wengine walivyo open kwa mambo . Unadhami Ayatollah ni mzima kuliko Netanyahu? Thubutu!
Nyinyi ndo mna akili za kipumbavu ,kuumwa ni kawaida kwa binadamu yeyote bila kujali ana cheo gani .

Lakini tatizo linakuja kwenu nyinyi warokole akiumwa kiongozi wa taifa lenye uadui na Israel ni lazima ugonjwa wake muuhusishe na Israel.

Kuna uzi humu unao ongelea Ayatullah kuumwa lakini kwa mujibu wa comment za warokole ni mosad ndo wamemtumia huo ugonjwa.
Wengine wanasema ni laana kwa sababu ya kuwa na uadui na taifa teule.
Rais wa Iran alikufa kwa ajali lakini nyinyi warokole mnalazimisha kuwa Israel ndo ili muuwa na sio ajali ya kawaida utadhani labda ndo kiongozi wa kwanza kufa kwa ajali.

Netanyau hapo alipo moyo wake unasaidiwa na kifaa cha umeme kufanya kazi ina maana wahuni wa kiiran wakiamuwa kukidukua hana Netanyau hana bahati ,ila hiyo sera ya Iran kufanya ugaidi dhidi ya viongozi wa mataifa mengine hawana wamemuacha ajifie mwenyewe.
 
Back
Top Bottom