Waziri Mkuu wa Israel agundulika na Kansa ya tezi dume stage 3 baada ya kufanyiwa uchunguzi

Waziri Mkuu wa Israel agundulika na Kansa ya tezi dume stage 3 baada ya kufanyiwa uchunguzi

Vyombo vya habari vya kimataifa vimeripoti kutoka katika timu ya madaktari nchini Israel kuwa waziri mkuu Benyamin Netanyahu hii Leo amegundulika kuwa na Kansa ya tezi dume stage 3 ambapo imeelezwa kuwa ataanza matibabu mara 1.
View attachment 3187961
Umerudi sheikh wangu? Ulipotea sana. Matokeo ya Vita na Hamas, Hizbullah, Iran, Syria yakoje ? Tumepotea tumeshindwa hata kupeana taarifa za kutiana moyo. Labda sasa tuisimamie hii... Anaweza akafa kesho. Sivyo? Tuseme hivyo. Maana hawa Mayahudi yamejua kutuvua nguo. Ritz alipambana pambana akachoka kabisa baada ya Iran kutotimia OPERATION PROMISE Mpaka leo. Mara akaja kusikia ASSAD KAKIMBIA NCHI. BASI AKAONA YESHE. HATAKI TENA HAYA MAMBO.
 
Imenikumbusha enzi za utawala wa kikwete aliugua tezi dume eti akaenda marekani kufanyiwa upasuaji na convoy ya watu si chini ya arobaini kwenda kuchezea Kodi za wananchi tu wakati hata hapa nyumbani angefanyiwa upasuaji
 
Yaarab toba
Astaghfullah sheikh Malaria 2
Simulizi ya Namrud na Mbu

Namrud alitawala kwa dhuluma na kiburi kikubwa, akidai kuwa yeye ni mungu. Nabii Ibrahim (AS) alimtaka kuacha ukafiri na kumuamini Mwenyezi Mungu Mmoja wa Haki. Hata hivyo, Namrud alikataa na akajigamba kwa uwezo wake.

Kwa mujibu wa simulizi, Mwenyezi Mungu alimpelekea mbu mdogo kama adhabu. Mbu huyo aliingia puani mwa Namrud na kumsababishia maumivu makali ya kichwa kwa muda mrefu. Mwisho wa maisha yake, Namrud alikufa kwa maumivu yaliyosababishwa na mbu huyo.
 
Nyinyi ndo mna akili za kipumbavu ,kuumwa ni kawaida kwa binadamu yeyote bila kujali ana cheo gani .

Lakini tatizo linakuja kwenu nyinyi warokole akiumwa kiongozi wa taifa lenye uadui na Israel ni lazima ugonjwa wake muuhusishe na Israel.

Kuna uzi humu unao ongelea Ayatullah kuumwa lakini kwa mujibu wa comment za warokole ni mosad ndo wamemtumia huo ugonjwa.
Wengine wanasema ni laana kwa sababu ya kuwa na uadui na taifa teule.
Rais wa Iran alikufa kwa ajali lakini nyinyi warokole mnalazimisha kuwa Israel ndo ili muuwa na sio ajali ya kawaida utadhani labda ndo kiongozi wa kwanza kufa kwa ajali.

Netanyau hapo alipo moyo wake unasaidiwa na kifaa cha umeme kufanya kazi ina maana wahuni wa kiiran wakiamuwa kukidukua hana Netanyau hana bahati ,ila hiyo sera ya Iran kufanya ugaidi dhidi ya viongozi wa mataifa mengine hawana wamemuacha ajifie mwenyewe.
Inferiority!
 
Kibongo Bongo angekuwa Mtanzania angesubiri tu hatma Mungu apange ratiba zake siku ifike amtwae lakini hao jamaa kidogo watampambania.

Baba yangu mkubwa aged 87 aligundulika ana tezi dume feb mwaka huu tukaambiwa akiguswa tumempoteza so yupo tu anatumia dawa za kupoza tatizo.
 
Yalikuwa yanakata mauno balaa hadharani siku hiyo october 7 huku yakibweka na sauti za juu Allah akbar Allah akbar. Sasa hivi hata kusema tu hivyo yanashindwa na wale yanaoweza yamebaki yakibweka kwa kujilazimisha Allah Akbar huku yamebanamikundu yao kwa uchungu mkali.

Maamaee myahudi
Hahahah we jamaa bwana,ujue unazingua mkuu watakupiga fatwa moja kesho usiamke 😂
 
Back
Top Bottom