Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Tafuta kazi ya kufanya mkuu
Nyinyi ndo mna akili za kipumbavu ,kuumwa ni kawaida kwa binadamu yeyote bila kujali ana cheo gani .
Lakini tatizo linakuja kwenu nyinyi warokole akiumwa kiongozi wa taifa lenye uadui na Israel ni lazima ugonjwa wake muuhusishe na Israel.
Kuna uzi humu unao ongelea Ayatullah kuumwa lakini kwa mujibu wa comment za warokole ni mosad ndo wamemtumia huo ugonjwa.
Wengine wanasema ni laana kwa sababu ya kuwa na uadui na taifa teule.
Rais wa Iran alikufa kwa ajali lakini nyinyi warokole mnalazimisha kuwa Israel ndo ili muuwa na sio ajali ya kawaida utadhani labda ndo kiongozi wa kwanza kufa kwa ajali.
Netanyau hapo alipo moyo wake unasaidiwa na kifaa cha umeme kufanya kazi ina maana wahuni wa kiiran wakiamuwa kukidukua hana Netanyau hana bahati ,ila hiyo sera ya Iran kufanya ugaidi dhidi ya viongozi wa mataifa mengine hawana wamemuacha ajifie mwenyewe.