Waziri Mkuu wa Israel agundulika na Kansa ya tezi dume stage 3 baada ya kufanyiwa uchunguzi

Waziri Mkuu wa Israel agundulika na Kansa ya tezi dume stage 3 baada ya kufanyiwa uchunguzi

Mungu fundi sana anamiliki silaha za kila aina na kujisifia na kuuwa watu hovyo ajabu umeshindwa kuzuia kansa ya tezi dume ulinzi kila kona 😂
 
Mimi nataka atesekee kitandani kwanza Kabla ya kufa kafiri
Hilo haliepukiki mkuu,hata sasa hivi yupo kwenye mateso na maumivu, ni vile tu yupo chini ya uangalizi wa hali ya juu wa wataalam wa afya na taarifa juu ya hali yake ni siri.
 
Netanyahu anatoa amri Gaza hospital zote zishambuliwe kesho anaenda hospital kungolewa korodani😂
 
Angekuwa Ayatullah ndo ame gundulika na huo ugonjwa sasa hivi warokole wa kawe wangekuwa wamo humu wakiisifu mosad kwa kufanya kazi.
Hawa Jamaa huwa wanatia kichefuchefu sana kwa kweli
 
Nyinyi ndo mna akili za kipumbavu ,kuumwa ni kawaida kwa binadamu yeyote bila kujali ana cheo gani .

Lakini tatizo linakuja kwenu nyinyi warokole akiumwa kiongozi wa taifa lenye uadui na Israel ni lazima ugonjwa wake muuhusishe na Israel.

Kuna uzi humu unao ongelea Ayatullah kuumwa lakini kwa mujibu wa comment za warokole ni mosad ndo wamemtumia huo ugonjwa.
Wengine wanasema ni laana kwa sababu ya kuwa na uadui na taifa teule.
Rais wa Iran alikufa kwa ajali lakini nyinyi warokole mnalazimisha kuwa Israel ndo ili muuwa na sio ajali ya kawaida utadhani labda ndo kiongozi wa kwanza kufa kwa ajali.

Netanyau hapo alipo moyo wake unasaidiwa na kifaa cha umeme kufanya kazi ina maana wahuni wa kiiran wakiamuwa kukidukua hana Netanyau hana bahati ,ila hiyo sera ya Iran kufanya ugaidi dhidi ya viongozi wa mataifa mengine hawana wamemuacha ajifie mwenyewe.
Maelezo mazuri "maalim
 
Netanyau hapo alipo moyo wake unasaidiwa na kifaa cha umeme kufanya kazi ina maana wahuni wa kiiran wakiamuwa kukidukua hana Netanyau hana bahati ,ila hiyo sera ya Iran kufanya ugaidi dhidi ya viongozi wa mataifa mengine hawana wamemuacha ajifie mwenyewe.
Hii kali...
 
Atapona tu! Anahitajika kuongoza mapambano ya kuhakikisha Usalama wa Israel.
Kazi bado haijaisha.
 
Cha kushangaza huyo mbabe wako ameshindwa kutumia ubabe wake kuondoa tezi dume badala yake sasa hivi yupo anashikwa shikwa matako na wanaume wenzie na mbaya zaidi ili kuipima hiyo tezi dume ni lazima kuzamishiwa kidole kunako kwa hiyo mbabe wako kwa sasa hana malinda.
Mbona kama umepaniki bure tu? Kumbuka Kikwete alikuwa na tezi dume. Mswalie mtume sheikh wangu.
 
Tunamtakia pona ya haraka aendelee na kazi takatifu aliyoianzisha na kuitekeleza kwa mafanikio makubwa. YAHWEH amtangulie kipenzi chake.
Huyo YAHWEH lazima na atakuwa ni gaidi ndiyo maana kipenzi chake ni muuaji.
 
Back
Top Bottom