Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Aongee vizuri na Mr. MOSCOVISTCH amevumbua dawa na anapanga kuizindua tena bure kufikia mwaka mpya.Pia akumbuke kufanya toba kwa matendo yake kwa WapalestinaVyombo vya habari vya kimataifa vimeripoti kutoka katika timu ya madaktari nchini Israel kuwa waziri mkuu Benyamin Netanyahu hii Leo amegundulika kuwa na Kansa ya tezi dume stage 3 ambapo imeelezwa kuwa ataanza matibabu mara 1.
View attachment 3187961