Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

Msimamo wa Hayati JPM dhidi ya Corona, ndiyo umetufanya Tanzania kujulikana Dunia nzima kwa muda mfupi sana,japo tulishaanza kujulikana kidogo!!
Aliyekuwa na msimamo kama huo sio yeye tu, kuna nchi inaita Belaraus n Rais wake alikuwa na msimamo kama huu? Leo ni watanzania wangapi wanaifahamu Belaraus?

Kuna kufahamika kidogo kulionezeka lakini sio huo wingi wa hao watu. Kwanza Watu wengi Duniani wanafahamu Afria ni nchi Ukienda China Au USA ukiuliza raia mtaani akutajie nchi 5 tu za Africa , wachache sana wataweza kukutajia
 
Event kubwa(Category ya mazishi) duniani iliyovunja rekodi ni ya Michael jackson(Memorial Service) ,ilikuwa na viewers bilioni 2.
Na foreign intelligence wamesema ya Magufuli imeipiku ya MJ na Princess Diana
 
Kama una Twitter account kacheck foreign intelligence au global intelligence utaona hizo data
 
Unapoongelea bei nafuu usiijumuishe oppo na hizo takataka Tecno na Itel.
Afadhari umemkumbuka mkuu,maana alipoiweka Oppo kundi moja na tecno,Aitel na infinix nilishangaa sana,kuna mashine za Oppo bei mkasi kito moto m[emoji3]
 
Afadhari umemkumbuka mkuu,maana alipoiweka Oppo kundi moja na tecno,Aitel na infinix nilishangaa sana,kuna mashine za Oppo bei mkasi kito moto m[emoji3]
Oppo inauzwa bei ya Makisai halafu ya moto sana.
 
kuna watu wanashindwa kuelewa anaposema billion 3.9 wamefuatilia matangazo ipo hivi BBC wanao idadi ya watu wanaosikiliza matangazo yao,DW na redio zingine. Ukianza kujumlisha idadi ya watu wanaofuatilia na kusikiliza BBC, DW, VOA Na vyombo vingine vya habari dunia waliotangaza habari ya kifo inaleta idadi hiyo
 
Kama tukisema urongo misikitini sehemu yenye heshima ya juu sana kwa waumini wa dini ya kiislamu. Wapi utaogopa kusema urongo.

SIJAMTAJA MTU NI MAWAZO YANGU TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…