Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Wamekufa 14 siyo wanahabari tu......hiyo hafla ni ya ajali ya watu 14Wewe Madenge Jr kwani hujui kwamba Nape ni waziri wa habari, so lazima alitetee kundi lake? Hao wengine nao wana mtetezi wao, sawa?
Angewazungumzia wote, mngeuliza: Ametumia mamlaka gani?
Waandishi ndiyo binadamu peke yao... na uwanjani pale yameonekana majeneza ya waandishi tu! Ya wananchi hayakuwa na umuhimu pale! Ha haha; nacheka kwa huzuni!
.... serikali inataka kujitoa kimtindo wakati walikuwa wanaenda kuandika habari za serikali na walikuwa wamebebwa na serikali (STL) na sio waajiri! Kwa mfano, suala la bima (ya ajali) hapo inakuwaje? Chombo kilichosababisha ajali ni cha waajiri?
Vipi kuhusu wale raia wengine waliofariki kwenye ajali hiyo mbona habari zao sijaziona? ingependeza kama nao wangeagwa hapo pia.
Waandishi ndiyo binadamu peke yao
Najaribu kufikiria kosa la waajiri, wakati waandishi walifia kwenye gari la STL
Kwa hiyo ametoa agizo pia kwa mwajiri wake.Hata STL yuko Kwenye list ya waajiri
Huyu mtu hana ufahamu wa nafasi anazopewa. Pamoja na agizo hilo je, serikali imewahi kulipa watumishi wake ktk siku saba? Tabia hii ndo iliyomfanya kuhangaika na uchunguzi wa Makonda badala ya kuangalia uhusiano wa ofisi yake na ngazi zingine.Waziri wa Habari na Mawasiliano ya teknolojia ya Habari Nape Nnauye ni miongoni mwa waliofika uwanja wa Nyamagana kuungana na RC Mwanza, Injinia Robert Gabriel na Waombolezaji wengine kuaga miili ya Waandishi 6 waliofariki kwenye ajali jana...
Na kweli siku hata mirathi iUmeanza kukurupuka. Serikali inasaidiaje familia za hao marehemu?
ππππAnalipwaje mwanahabari ^akati^ amefariki, wewe Nape? Mbona unakuja tena na spidi ya mwanga utapinduka vibaya huku kubaya?
Shida wanatawala,hawaongozi, hivyo amri sizizo za kufikiri imekuwa sehemu ya utawala wao.AMRI.Serikali inalipa mirathi na kiinua mgongo kwa watumishi wake baada ya miaka 2 na kuendelea ,lakini private sector mnataka ilipe ndani ya siku 7.
Anajipendekeza aandikwe uzuriWasiokuwa waandishi hawastahiki kulipwa ishuarensi inasemaje au walikuwa hawana
Hao ndio wanasihasa...!! Wanasema kile wasichokiamini.Najaribu kufikiria kosa la waajiri, wakati waandishi walifia kwenye gari la STL
Hii nchi ina ubaguzi wa kijinga sana....!! Wana sihasa ndo shida. WATU 14 WAMEPOTEZA MAISHA LAKINI TUNAONA WANAOZUNGUMZIWA SANA NI WAANDISHI WA HABARI 6!!!!Vipi kuhusu wale raia wengine waliofariki kwenye ajali hiyo mbona habari zao sijaziona? ingependeza kama nao wangeagwa hapo pia.