Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Habari wakuu?
Hii ni habari njema wadau wenzangu, twaisubiri kwa hamu.
View attachment 2328754
Ahsanteni wananzengo
Shwetaan tu huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wakuu?
Hii ni habari njema wadau wenzangu, twaisubiri kwa hamu.
View attachment 2328754
Ahsanteni wananzengo
Uchumi gani wewe wanao Malawi mbona mnapenda visingizio vya kijinga nyie?Umelinganisha na uchumi wao na Un Employment rate yao au ni kupost tu? Eti huskii malalamishi? Wakati Kenya mwezi wa 8 Rais Uhuru ameagiza garama za kupiga simu zishushwe Kenya, baada ya tafiti kuonesha calling rate ipo juu sna, kupiga simu kume pungua snaaa. Akamteua, Ezra Chiloba kushughulikia.
Backmakngese
Shida mkiwa CCM huwa akili zina hamia tumboni. Nsha fuatilia post/comment zako ni za mapambio tu. Ina onesha ni mnufaika wa unyonyaji wa Mwigulu. Sasa ww Tanzania una jilinganisha na Kenya uchumi?Uchumi gani wewe wanao Malawi mbona mnapenda visingizio vya kijinga nyie?
Kila kitu kitakuwa vile unavyo ki define kichwani kwako..Shida mkiwa CCM huwa akili zina hamia tumboni. Nsha fuatilia post/comment zako ni za mapambio tu. Ina onesha ni mnufaika wa unyonyaji wa Mwigulu. Sasa ww Tanzania una jilinganisha na Kenya uchumi?
Nimempa ban! Alikuwa Kawe Alumn, Via YETU, ..... Buku Saba wa nguvu, Kwa sasa hata password za JF hawazikumbukiShida mkiwa CCM huwa akili zina hamia tumboni. Nsha fuatilia post/comment zako ni za mapambio tu. Ina onesha ni mnufaika wa unyonyaji wa Mwigulu. Sasa ww Tanzania una jilinganisha na Kenya uchumi?
Voda hii, nakumbukaI remember 2008/2009 tunanua mb20 kwa 500..
Yupo bibi yangu mmoja na vijana wa tatu (wabush bush)hapo kwa mchele kilo 40 chai hii
ni mtandao gani wanauza 1 gb kwa 1666?Yuko sahihi maana hata Bei za internet Tanzania ziko Chini kuliko Nchi jirani ila husikii malalamishi ya kijinga 👇
Htel,tigoni mtandao gani wanauza 1 gb kwa 1666?