Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Hili wanalikwepa sana badala yake wanajificha kwenye kuzungumzia zaidi utendaji duni wa bandari na umuhimu wa uwekezaji wakati hakuna yeyote anayepinga uwekezaji.....ila wanataka tu utaratibu mzuri ufuatwe na maslahi ya nchi yazingatiwe.Kabisa
Wajikite kwenye vipengele vibovu vilivyoko kwenye hicho kinachoitwa makubaliano
Hakuhitaji hotuba yote hoyo angejikita kwenye hivyo vipengele.vibovu ambavyo vinalalamikiwa
Halafu hapo angekuwepo na mwanasheria mkuu wa sirikali ajibu hoja za vipengere tatasishi vya mkataba husika, kajificha wapi huyu. ccm mbele kwa mbele!! Uvccm mpo wapi?Kabisa
Wajikite kwenye vipengele vibovu vilivyoko kwenye hicho kinachoitwa makubaliano
Hakuhitaji hotuba yote hoyo angejikita kwenye hivyo vipengele.vibovu ambavyo vinalalamikiwa
Na rais angeitwa kujitetea kwenye seneti kwa nini asijiuzuru.Ingekuwa nchi nyingine angeshajiuzuru mwenyewe mwanzoni kabisa mwa hiyo kadhia.
Wewe ndio wale wale mbumbumbu tunahitaji majibu ya kisheria na sio kisiasa, ticts mkataba ulisitishwa nchini kwetu hao DP world mkataba na migogoro unawapelekea uingereza, unaenda kubadili sheria ya ulinzi wa rasilimali za taifa ili kunufaisha mafisadi hapana hapana na serikali haitakiwi kuaminiwa
Changamoto ni kwamba hata Mbarawa mwenyewe hajausoma huo mkabata naye anaambiwa kama sisiAzungumzie mapungufu ya mkataba yanatatuliwaje hizo habari za ufanisi bandarini kila binadamu anazifahamu
Sahihi kabisa Mwanasheria Hamza Johari kaweka vizuri direct kwenye eneo wananchi walionyesha wasiwasi kwenye vipengele vya mkataba.Hamza kaenda moja kwa moja kwenye eneo tata kufafanua vizuriHili wanalikwepa sana badala yake wanajificha kwenye kuzungumzia zaidi utendaji duni wa bandari na umuhimu wa uwekezaji wakati hakuna yeyote anayepinga uwekezaji.....ila wanataka tu utaratibu mzuri ufuatwe na maslahi ya nchi yazingatiwe.
Changamoto ni kwamba hata Mbarawa mwenyewe hajausoma huo mkabata naye anaambiwa kama sisiAzungumzie mapungufu ya mkataba yanatatuliwaje hizo habari za ufanisi bandarini kila binadamu anazifahamu
sio usiri ni Hira, wangehusisha wanasheria wao ingesaidia, nina mashaka na ujuzi wa mwanashetia mkuu wa serikali kama kweli alihusikaUsiri umeiponza Serikali
Anaisifia na kusema eti wapo Serious,huyu atakuwa ni FaizaFoxy FoxyKuna mdada badala ya kuuliza swali anatoa ushauri, kuhusu kuikubali DPW kaniudhi sana.
Kwanza ajiuzulu na aondoke BaraWatanganyika wote tunatakiwa kumpuuza huyu kiumbe.
Watanzania tuiamin Serikali
Mkataba una manufaa
Bandari haijauzwa
Na blaaa blaaa mingi.
Sisi tunataka hayo manufaa, tuyaone kupitia Mkataba Kwa mujibu wa Katiba yetu !!.
π π π π π πHuu ujasiri wa Mzanzibar kudalalia mali za Tanganyika anautoa wapi? Pia atuambie kwenye ule mkataba yule aliyesaini kama shahidi wake ni nani? Maana hakuna jina linaloonekana