Basi Dr wanaosema hivo si wanaisrael weusi wasiovumbua hata dawa ya kupoteza kunguni.😁😁😁Bado mnasema Israel ndo Taifa Lenye Nguvu...
Anakupiga Mtu halafu onyo anatoa Mwingine Ole wako umrudishie 🤣🤣..
Ina maana anajua Ukimrudishia Watu watajua kuwa hana Nguvu 🤣🤣 kama anavyosifiwa
Vyovyote vile utakavyoelewa ila Iran asithubutu kujibu.Sasa nimeelewa kumbe hii fire exchange sio baina ya Iran na Israel, badala yake ni US na Iran
Unaitofautishaje USA na Israel?Hebu tofautisha tuone mkuu.🤔
Kuangalia katuni siyo jinai.Ila nimeshindwa kuelewa limetokea wapi hilo neno hadi limekosesha maana nilichokusudia kuandika.We siuseme ukweli tu kuwa upo unaangalia katuni ya tom and Jerry 😁😁😁😁😁😁
Hii inanikumbusha shule ya msingi dogo wa darasa la tatu anakuja kukupiga kibao sasa rudishia ushuhudie kisago cha mbwa mwizi.Bado mnasema Israel ndo Taifa Lenye Nguvu...
Anakupiga Mtu halafu onyo anatoa Mwingine Ole wako umrudishie 🤣🤣..
Ina maana anajua Ukimrudishia Watu watajua kuwa hana Nguvu 🤣🤣 kama anavyosifiwa
Hao wenyewe wa kuitwa Waisrael pale ni kwao au babu yao kiimani naye alivamia tu kama wavamizi wengine wa kizungu marekani wanapopaita kwao ?!Asante sana!
Hapo Zamani Marekani Ilikuwa inakaliwa na Wahindi wekundu au Tunaweza Kuita Red Indian au Red indians..
Na Ilikuwa Ikiitwa Turtle Island Vipi na wenyewe Wanaruhusiwa Kurudi na Kudai Nchi yao kutoka kwa Wamarekani baada ya kukaliwa kwa Miaka zaidi ya 800 bila Wao kuitawala?
Hata bibria hakuna mahala imeandika Israel ndio nchi ya asili ya hapo, bali wakawaue watu wenye asili yahapo, then wajimilikishe aridhi.Kwa hiyo unanipangia kutoa uthibitisho kwa ukitakacho wewe?Imani na historia zinaenda pamoja.Kwa nini uchague kimoja na ukatae kingine?Unataka kubumbabumba nini hapo?
Umesahau kama kambi za jeshi la marekani zilipigwa na trump ndie alikua Rais?Trump akiingia white house nakuhakikishia Iran inaenda kuwa kama iraq ya Saddam Hussein
Kwani Tanzania chini ya Umoja wa Afrika hawawezi kukaa kikao na kuonyesha noti yao ya Umoja wao na wakisema itakuwa mbadala wa dollars?Ndiyo, kama Urusi wameonyesha hadi noti ya Brics wakitaka kuondoa utegemezi kwa dola itakua sahihi kuassume kwamba wanahitaji wanachama zaidi katika hili kusudio. Iran hatonyimwa msaada ila hautakua mkubwa au hautakuja kwa wakati
Waliambiwa na nani na sababu ilikuwa ni nini?Hata bibria hakuna mahala imeandika Israel ndio nchi ya asili ya hapo, bali wakawaue watu wenye asili yahapo, then wajimilikishe aridhi.
Mwaka wa ngapi huu US anahangaika na IRAN, Wakati Saddam ilimchukua miaka 13 tu kumsambaratisha.Nini kitashindikana kama mlengwa akili zake ni zilezile na mbinu hizohizo?
A aaaamakweli sasa naanza kuamini israel ndo itakayokuwa chanzo cha vita ya 3 ya dunia
Waliambiwa na Mungu wao...sababu wakiwaacha hawatoishi kwa amani.Waliambiwa na nani na sababu ilikuwa ni nini?
HahahahHatutaki maneno mengi,Iran ijibu shambulizi na si vinginevyo.
Umenikumbusha siku nyingi sana tukiwa shule ya msingi.Wanafunzi wenzetu walipokuwa na ugomvi wa maneno tuliwachukua na kwenda kuwapiganisha uwanja wa dhambi nje ya eneo la shule hadi mmoja apigwe hasa.Kwa ufupi tulikuwa wachonganishiHatutaki maneno mengi,Iran ijibu shambulizi na si vinginevyo.
Kiingereza kimekutupa mkuu.. Austin kasema hii iwe mwisho wa kushambuliana na sio Mwisho wa Iran.. sawa sawaWadau hamjamboni nyote?
Jisomeeni
US defense chief: Iran ‘should not make the mistake of responding to Israel’s strikes’
By Reuters
“Iran should not make the mistake of responding to Israel’s strikes, which should mark the end of this exchange,” Austin says in a statement.
Waliambiwa na Mungu wao...sababu wakiwaacha hawatoishi kwa amani.Waliambiwa na nani na sababu ilikuwa ni nini?
Mshachelewa.Wala hata vita ya 3 haifiki Iran atakua kesha pasuliwa, simu zinatembea mataifa yote ya magharibi kimya kimya jinsi ya kumalizana nae kabla hajafikia level ya Kim kiduku, Uzuri walikua wanamtafutia sababu nae kwa ujinga kajiingiza mtegoni
A aaa