Wazungu wamechafukwa, lango la Kilimanjaro na Zanzibar hapa Bole ni kufuru

Wazungu wamechafukwa, lango la Kilimanjaro na Zanzibar hapa Bole ni kufuru

Hata kama ni ujinga lakini hili la kusema hiyo Royal Tour imeongeza watalii ni ujinga uliopitiliza. Tena ni ushamba na ulimbukeni wa hali ya juu sana. Lack of exposure. Hakuna kipya ambacho wazungu watalii walikuwa hawakijui kuhusu ''safari'' kwenye ile filamu. Mnajiingiza kwenye ubishani wa kijinga kabisa.
Nilichosema sio mtaala wala sheria, you're free kukinzana ila kuita ujinga views zisizofanana na zako ni utoto.
 
Mnaweweseka sana,ni muda wa NYUMBU kurejea Maasai Mara toka huko kwenyu Serengeti.
Utalii mmeanza kuuelewa juzi tu bichwa tayari .
Kalb wahed.
Wivu 😆😆,haters huwa hamkosekani.

Walioko kwenye game ya utalii wanashuhudia hili ila wewe kapuku unapinga.
 
Waku nipo Bole International Airport muda gate la Kilimanjaro & Zanzibar wazungu ni wengi kupitiliza.

Watani wetu wa jadi Kenya wamenuna ndege kuelekea Nairobi wazungu hawazidi kumi.

Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu mkubwa.

Ngongo kwasasa Addis Ababa Bole International Airport
Utasikia Royal Tour haina faida. Walisikika walevi wa k vant
 
Sijawahi kuwa chawa hata siku moja fuatilia mabandiko yangu utaufahamu msimamo wangu tangu enzi za Mzee wa ukweli na uwazi.
Inawezekana ni hadithi ya kweli au ya kutunga, kama hakuna vithibitisho
 
Utasikia Royal Tour haina faida. Walisikika walevi wa k vant

..kumefanyika SURVEY yoyote kujua kwamba watalii wanaokuja sasa hivi wamevutiwa kuja Tz baada ya kuangalia Royal Tour?

..Ili ujue Royal Tour imefanikiwa au la ni lazima udadisi / utafiti kwa kuuliza Watalii wanaotua Tz kama wameiona filamu hiyo, na zaidi kama filamu hiyo ndiyo iliyowasukuma kufanya maamuzi ya kuja Tz.
 
Tumeanza kushuhudia matunda ya Royal tour
 
Back
Top Bottom