Wengi wanahoji wake wa Spika Job Ndugai, na kuona mmoja amesahaulika

Kwenye utumishi haujazi tu , unapeleka na vielelezo.

Nimeuliza swali, Stella anacho cheti cha Ndoa? Hivi miaka ya 80 unajua watu walivokuwa wanaoana?
 
Niletee mwanamke anaeridhia MITARA!

Hata hao waislam wenyewe…… wnaawake wa kiislam hawapendi kusikia kitu MITARA na ni chanzo cha ugomvi na wengine huamua kuondoka

In real nature hakuna mwanamke anaeweza kuridhia mitara……kwangu mitara ni aina nyingine ya Umalaya uliohalalishwa

Kwanza unavuruga familia tu na kujiletea magonjwa

Ukiwa nyumba ndogo, kubwa itasaidiwa
 
Stori za JABA! hilo file la Siri liangaliwe baada ya uteuzi na si kabla? Hii Nchi Nyerere aliacha wafu wanaotembea!!
 
hata watoto naona wamekwepa kutaja idadi!....
Bi STELLA tayari kesha zidiwa kete, maana hatambuliki popote, ila uzuri wake yeye ndie alie zaa na ndugai watoto watatu, ila Bi Fatuma hakubahatika kuzaa na Ndugai.
Wale watoto waliotambulishwa bungeni sio wa Mheshimiwa???
 
Kuanzia Sasa hivi Mali zinatoka kwa kufuata amri ya mahakama ya ni nani amekabidhiwa kuwa administrator wa estate ya mahakama. So hata utumishi hawahusiki. Mahakama itateua administrator kuendana na kikao Cha wanandugu na written will ya mheshimiwa inasemaje. Will inaweza kumbe suppressed mahakamani pia.
 
Conspiracy 🤣 tumekwisha
 
Ndoa ya Christian ni ya mke 1 hivyo ukiamua kuoa mwingine huyo hawezi hesabika kuwa Mke hadi pale unapoamua kudivorce huyo wa kwanza. Kwahiyo Ndugai kama ali divorce basi alikuwa mwenye uwezo wa kuoa mke mwingine
 
Kumbe ukifa unaacha kila kitu? Hata vinavyo wasumbua watu kichwani
 
Kuwa n’a mke 1 Shirikianeni na mkeo kuchuma mali
weka ndugu Zako clear kuwa wewe na mkeo ni mwili mmoja hakuna wa kuingia kati

Shida ni pale ulioa Vampire kwa kuangalia makalio na manyonyo na wadada wa social media…… unaoa mtu ambae hata wazaz wake hawajui walimlea vipi…….. imekula kwako

Watu mnaishi kwa kufichana mali, hata simu hamushei…… matokeo ndio hayo
Ni kutifuana tu
 
Ndoa ya Christian ni ya mke 1 hivyo ukiamua kuoa mwingine huyo hawezi hesabika kuwa Mke hadi pale unapoamua kudivorce huyo wa kwanza. Kwahiyo Ndugai kama ali divorce basi alikuwa mwenye uwezo wa kuoa mke mwingine
Sawa, je unacho cheti ?
 
Kwa ushauri mdogo tu ukioa bila talaka kuwa na hekima ya kuwaleta wake zako pamoja. Wafanye wajijue kwamba wote umezaa nao. Ni mama wa watoto wako hasa ukiwa umeamua kuishi nao. Ili ukifa wakae pamoja wapange vitu na sio kwenda kuaibishana mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…