Kifo ndio hakimu….wa kweliKumbe ukifa unaacha kila kitu? Hata vinavyo wasumbua watu kichwani
Nimeuliza swali, utoe TALAKA , Cheti cha ndoa unacho ?Kwa ushauri mdogo tu ukioa bila talaka kuwa na hekima ya kuwaleta wake zako pamoja. Wafanye wajijue kwamba wote umezaa nao. Ni mama wa watoto wako hasa ukiwa umeamua kuishi nao. Ili ukifa wakae pamoja wapange vitu na sio kwenda kuaibishana mahakamani.
Thus, to die is very easyKifo ndio hakimu….wa kweli
Scientifically, mtu akifa saa moja asubuhi…….. by saa tatu usiku mwili unaànza kutoa bad smell…. Kesho yake mwili unaanza kutoa harufu ya uozo … siku ya 3 kama no Formaldéhyde treatmzent….. sehemu za kwapa na viungio vyote vinaàza kutoa wadudu wadogooo
Human is very weak creature kuliko kiumbe chochote kuwahi kuwepo
Strength ya Human ni UBONGO tu na jinsi anavoitumia….. otherwise we are nothing but weak créatures
Very easy and weak . TwoThus, to die is very easy
Huwezi toa taarifa ya kimada maana lazima uambatanishe cheti Cha ndoa. Kimada Hana cheti Cha ndoa.Nadhani hauko sahihi. Mfano: Yusufu amemuoa Mariamu ndoa ya kikatoliki, akapewa cheti cha ndoa na kanisa (kumbuka kanisa ni wakala wa serikali ktk muktadha huu). Lakini ktk taarifa alizompa mwajiri wake akaweka jina la kimada wake kuwa ndiye mkewe. Sasa mbeleni ikitokea shida kama hii inayojadiliwa hapa, sheria haiwezi tu kuangalia ulijaza nini kwa mwajiri bali itaangalia yupi ni mke halali. Kwahiyo kama Yusufu alijaza hizo taarifa za kimada wake baada ya kufunga ndoa na Mariam, basi sheria itamtambua Mariam kama mke halali wa marehemu. Mfano huu unahusu ndoa za mke mmoja, lakini hata ktk ndoa za mke zaidi ya mmoja lazima mke aliyetangulia aridhie ndio mme aweze kuoa mke mwingine.
Mi mbona wazazi wangu ndoa ya 1981 na vyeti vipo? Kama walifungia kanisani those priests were educated enough to grants them.Nimeuliza swali, utoe TALAKA , Cheti cha ndoa unacho ?
vijana wa 80s, 90s na 2000s tunachukulia maisha poa sana …. Miaka ya zamàn
Watu walikuwa wanaoana bila vyeti
Mlitaka ndugai atoe talaka, je cheti cha ndoa Stella alishawahi kua nacho?
Mostly wanavyo. I hope Bado anacho Cha kwake. Muda wa matumizi umefikaSure , sio wote ….
Our friend who started this thread is busy talking about people and their event , events shape individuals and societiesVery easy and weak . Two
Minutes ni a lot .kuna mahali ukiminywa……. Hardly kumaliza dakika mbili unakuwa no more
Kuna lethal Injection ukichomwa directly kwenye Vein ….. hardly kumaliza 25Secs …. The same lethal could take a dog for 10 min in survival
🤣 kimada ni kama kitimoto, unaliwa kwa siriHuwezi toa taarifa ya kimada maana lazima uambatanishe cheti Cha ndoa. Kimada Hana cheti Cha ndoa.
🤣 huko ni kuleta maukimwi na ku create unstable family kwa maisha ya sasa
Hayo mambo waachieni waarabu….. hata waaarabu wa sasa imeshawashinda
Moja ya study yangu ya underground nilienda kuangalia risk ya Polygam kwa cases za HIV
POLYGAMY NI anather risk of HIV transmission na unstable familles
I dislike talking about dead peopleAnd you ?
Dr amezaa na Ndugaihata watoto naona wamekwepa kutaja idadi!....
Bi STELLA tayari kesha zidiwa kete, maana hatambuliki popote, ila uzuri wake yeye ndie alie zaa na ndugai watoto watatu, ila Bi Fatuma hakubahatika kuzaa na Ndugai.
🤣🤣 nimekugusa eenh ?Sasa mbona nchi za Kiislam zina kiwango kidogo sana cha maambukizi ya UKIMWI licha ya kuwa Dini yao imehalalisha kuoa mke zaidi ya mmoja?
Itakuwa umekariri vibaya au hujafanya tafiti zako vizuri.
Unstable families zina sababu nyingi kubwa na usikimbilie polygamy.
Polygamy kama ilivyoelezwa katika Uislam ikifuatwa ni kheri kubwa.
Sio watu wana michepuko kila mji wanawaficha kama bangi.
Kwa Watanzania wanavyopenda vitu vya kurithi utakuta Dkt Fatuma naye anakimbilia mahakamani kudai mali za Ndugai ziwe zake wakati hajazaa naye hlf akijua kbs Bi Stella ni mke halali wa Ndugai na amezaa naye watoto watatu.