polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Baada ya kufanya utafiti mdogo imebainika kuwa wengi wa wapiga kelele kuhusu bandari ni wale walio zoea kupitisha mizigo kimagendo yaani kupitisha mizigo kwa kukwepa kulipa malipo halali.
Lakini wengine ni lile kundi ambalo lina danganya nyaraka mfano mtu kaingiza kontena 100 akidai kwamba ndani zina mtumba lakini kati ya hizo kontena 100 kuna kontena 20 au 40 ndani zina magari ya kifahari mtakumbuka makontena yaliyo kamatwa ndani yakiwa na range rover mpya wakati yalisadikika ni mitumba ya furniture.
Kundi lingine ni wale wanufaika wa rushwa na wizi hapo bandarini katika uendeshaji na usimamizi na ndio maana kama mnakumbuka hata wakati wa zama za magufuli kulikuwa na kesi ya mita za kusoma mafuta kuhujumiwa kila mara
Lakini pia kuna taasisi za kidini ambazo pia kupitia msamaha wa kodi zilikuwa zina pitisha bidhaa binafsi kwa mgogo wa taasisi wakati huo kilichomo ndani ya kontena sicho kunacho paswa kuwepo
Hao ndio wengi wanapiga sana kelele maana wanaziona kabisa dalili ya mirija yao kuziba
Wanzania ni wezi na wabinafsi hatuna uwezo wa kusimamia miradi ya serikali huo ndio ukweli
NASHANGAA KWANINI TRENI YA MWENDO KASI DAR -MORO BADO HAIJAANZA KUFANYA KAZI HADI SASA = JIBU hujuma za wenye mabasi ya abiria kwa kushiriliana na TRC
#NASHANGAA KWANINI MAPENDEKEZO YA NAULI YA TRENI YA MWENDO KASI NAULI ZILIKUWA GHALI MARA MBILI YA MABASI =JIBU Hujuma za wenye mabasi ya abiria kwa kushirikiana na TRC
Kwa style hii bora tuwape wawekezaji nalubariki hilo 100%