Wengi wanaopiga kelele kuhusu bandari ni wapitisha mizigo kimagendo bandarini

Wengi wanaopiga kelele kuhusu bandari ni wapitisha mizigo kimagendo bandarini

Hakuna kitu icho kwenye mkataba kausome vizur...afu kingine hio bandari inatunufaisha sisi wa bara na itachangia mapato makubwa zaid kwenye budget ya serikali huoni hayo ww unaona chuki tuh mkuu

Katika post yangu kuna hoja hakuna chuki.

Ukiweza kurudi ukasoma na kunijibu naamini nitaelewa.
 
Katika post yangu kuna hoja hakuna chuki.

Ukiweza kurudi ukasoma na kunijibu naamini nitaelewa.

Kama hujaona chuki kwenye kitu ulichoandika wew utaezaje ona madhaif ya mkataba ambao hujaandika?
 
Back
Top Bottom