Tulia binti, sisi tunajikita na hoja ya bandari......bandari ni uchumi, bandari ni uhuru, bandari ni usalama.Hakuna mtoto hapa asielewe unachoandika na kujua tafsir ya unachoandika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia binti, sisi tunajikita na hoja ya bandari......bandari ni uchumi, bandari ni uhuru, bandari ni usalama.Hakuna mtoto hapa asielewe unachoandika na kujua tafsir ya unachoandika
Dp kama wanafanya operations pale bandarini TPA wameshindwa nini kwanini tuwaondoe TPA kwanini tusiwawezeshe TPA waongeze mapato kama ni kuongeza meli na mizigo kuwa mingi kwanini hawa DP?
unakaka kunubia kwamba hawa DP watakuwa wanazipigia simu meli zije kushusha hapa Dar hata kama mizigo inaenda Bara lingine ili tuongeze mapato?
nani kakwambia dili nchi yyte zitakuja isha , ??? hao waarabu unadhani dili hawatopiga ??? shida siyo watz, sheria zipo zikaziwe kabisa , wakati wa jiwe hamna aliye thubutu wizi pale meaning laws do work , unadhani walio juu hawali from those deals , kwani hao wezi hawaogopi kwa nini , mwisho mkubwa yyte akikiri eti wizi hauishi apewe risasi tu ameshindwa kazi . Mbona enzi za jiwe wizi uliisha ?? suluhisho sio mwaarabu , ikienda private sasa jua wizi utakuwa full scale , kutakuwa hamna disclosures tena to tyhe public , hizo ripoti za CAG unazoquote in private enterprises hazipo , hela ndo itaibiwa vizuri sasaWe ndio una fikra za kimasikini tena za kifukaraaa kabisa ..hao matajiri wakubwa kwann wanaingia ubia kwenye makampuni na watu wengine?
Wizi wa bandari hauwezi kuisha kama mwenyekiti wa bodi ya bandari alikiri juu ya wizi uliokuepo baada ya ripoti ya cag kutoka.
We utasema nn kuisafisha
Tulia binti, sisi tunajikita na hoja ya bandari......bandari ni uchumi, bandari ni uhuru, bandari ni usalama.
Sorry! mkuu.Bint?
Ni kweli mtu anaweza kuwa sio mnufaika lakini akawa ni mwepesi wa kudanganyika !! Na watu wa hivyo huwa ni wengi !!We ni katika wale mliodanganywa na hilo kundi .
Malizia msemo … Lisemwalo lipo kama halipo linakuja ! Maana yake ni kwamba linaweza kuwepo au bado halipo !Liswemwalo lipo...
nani kakwambia dili nchi yyte zitakuja isha , ??? hao waarabu unadhani dili hawatopiga ??? shida siyo watz, sheria zipo zikaziwe kabisa , wakati wa jiwe hamna aliye thubutu wizi pale meaning laws do work , unadhani walio juu hawali from those deals , kwani hao wezi hawaogopi kwa nini , mwisho mkubwa yyte akikiri eti wizi hauishi apewe risasi tu ameshindwa kazi . Mbona enzi za jiwe wizi uliisha ?? suluhisho sio mwaarabu , ikienda private sasa jua wizi utakuwa full scale , kutakuwa hamna disclosures tena to tyhe public , hizo ripoti za CAG unazoquote in private enterprises hazipo , hela ndo itaibiwa vizuri sasa
Sorry! mkuu.
kaka DP world wanawadanganya wabongo tu na CCM inajua hilo , import and export are demand driven issues , nchi tunazolenga kwa pakubwa ni rwanda na burundi both of which ni ndogo meaning much demand will be internal , wawe wasiwe as long as demand ipo mali itapita tu . Mwisho hamna vile utampa mwarabu bandari iliyojengwa na systems zote complete kisha uumpe tu , angekuwa mwekezaji angefanya wachina walivofanya Kenya , walipewa sehemu wakajijengea wenyewe "DONGO KUNDU PORT" , ila kuwapa mali ya jumuia hivo tu its a grave mistakeMkuu waibe vip akati kila mtu anatakiwa kupata faida.kumbuka ikishakua private inamaana cc tunachofata hapo ni pato la taifa.now tunapata tirion 9 ila wakiboresha tunapata tirioni 27 uko hapo umeibiwaje mkuu...
Hii nchi wote tunaijua, hizo sound tulishapigwa sana huko nyuma kwenye mikataba kibao ikiwemo ya gesi. Hizo ni dili za watu wanakuwa wamepata migao yao halafu wanaingiza nchi kingi.Pamoja mkuu..tukirudi kwenye mada mkataba kuna vipengele baadhi vya kurekebisha ila huo uwekezaji ni mzuri kwa taifa..unaleta tija na utapunguza matozo tozo ya kila cku kwa mapato tutayopata pale
Katiba mpya ni muhimu !! Vinginevyo hata waje akina nani still itakuwa ni shida tu !Kwaiyo tuna kubaliana kuwa ccm haitufai?
Ivi wewe umesoma kweliOkey ila hao dp world wakiendesha hio bandari mapato c yanaongezeka mara mbili yatunavo pata tena kwa ufanisi mkubwa hapo shida ikowapi
Kwakifupi serikali ya Tanzania ndiyo inayoua biashashara kwahiyo haiwezi kufanya biashara wanapoteza muda mwingi na fedha nyingi kutengenzea tozo miongozo na sera bila kushirikisha wajasiriamali, (wadau husika), matokeo yake vyote hivyo wanavyopanga haviwi na matokeo chanyaInshort serikali na biashara kwa tz ni ngumu..hata kandarasi zinazojenga ma shule na vitu vya umma je?mara ngapi tumeona chumba kimoja cha darasa kimejengwa kwa million 200 na zile hostel hata mwaka hazina zikapata ufa tukaambiwa ni expansion joint [emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaan mifano mingi tunayo jinsi tunavoboronga
kaka DP world wanawadanganya wabongo tu na CCM inajua hilo , import and export are demand driven issues , nchi tunazolenga kwa pakubwa ni rwanda na burundi both of which ni ndogo meaning much demand will be internal , wawe wasiwe as long as demand ipo mali itapita tu . Mwisho hamna vile utampa mwarabu bandari iliyojengwa na systems zote complete kisha uumpe tu , angekuwa mwekezaji angefanya wachina walivofanya Kenya , walipewa sehemu wakajijengea wenyewe "DONGO KUNDU PORT" , ila kuwapa mali ya jumuia hivo tu its a grave mistake
Kwakifupi serikali ya Tanzania ndiyo inayoua biashashara kwahiyo haiwezi kufanya biashara wanapoteza muda mwingi na fedha nyingi kutengenzea tozo miongozo na sera bila kushirikisha wajasiriamali, (wadau husika), matokeo yake vyote hivyo wanavyopanga haviwi na matokeo chanya
Kweli hekina busara za walio wengi zimekwama na kupotea, kipofu kwa sasa anaona na mwenye macho haoni. mwenye elimu hatambui mbumbumbu anatambua, samaki anavuliwa nchi kavi na mbuzi anachungwa bahari. mafanikio yamebaki kuwa manung'uniko na anguko limekuwa pongngezi. wanaopinga rushwa ndio waoogoza kuopea rushwa. wanaodai haki ndio wanaonunua na kuuza haki. maarifa yanapungua na ujinga hususani kwa wasomi unaongezeka. ewe tanuru la maarifa njoo uwaone hawaBaada ya kufanya utafiti mdogo imebainika kuwa wengi wa wapiga kelele kuhusu bandari ni wale walio zoea kupitisha mizigo kimagendo yaani kupitisha mizigo kwa kukwepa kulipa malipo halali.
Lakini wengine ni lile kundi ambalo lina danganya nyaraka mfano mtu kaingiza kontena 100 akidai kwamba ndani zina mtumba lakini kati ya hizo kontena 100 kuna kontena 20 au 40 ndani zina magari ya kifahari mtakumbuka makontena yaliyo kamatwa ndani yakiwa na range rover mpya wakati yalisadikika ni mitumba ya furniture.
Kundi lingine ni wale wanufaika wa rushwa na wizi hapo bandarini katika uendeshaji na usimamizi na ndio maana kama mnakumbuka hata wakati wa zama za magufuli kulikuwa na kesi ya mita za kusoma mafuta kuhujumiwa kila mara
Lakini pia kuna taasisi za kidini ambazo pia kupitia msamaha wa kodi zilikuwa zina pitisha bidhaa binafsi kwa mgogo wa taasisi wakati huo kilichomo ndani ya kontena sicho kunacho paswa kuwepo
Hao ndio wengi wanapiga sana kelele maana wanaziona kabisa dalili ya mirija yao kuziba
Wanzania ni wezi na wabinafsi hatuna uwezo wa kusimamia miradi ya serikali huo ndio ukweli
NASHANGAA KWANINI TRENI YA MWENDO KASI DAR -MORO BADO HAIJAANZA KUFANYA KAZI HADI SASA = JIBU hujuma za wenye mabasi ya abiria kwa kushiriliana na TRC
#NASHANGAA KWANINI MAPENDEKEZO YA NAULI YA TRENI YA MWENDO KASI NAULI ZILIKUWA GHALI MARA MBILI YA MABASI =JIBU Hujuma za wenye mabasi ya abiria kwa kushirikiana na TRC
Kwa style hii bora tuwape wawekezaji nalubariki hilo 100%
Mimi nina ubunifu wangu kwanini biashara zinakufa na nini kifanyike intellectual propertySera hizo mbovu ndio zikaua mpk viwanda vya uma..serikali ya tz haiwez biashara kabs